Mimi ndo nimeibiwa mpaka nimechanganyikiwa, nilinunua vocha( mpya za kifurushi) nilivoweka nkaambiwa HONGERA: Umefanikiwa kupata dakika,mb na sms {kadha} kupiga kwenda mitandao yote, sasa nikapiga sim naambiwa huna salio nkawapigia wakaniambia tatizo ni mtandao et "VOCHA YAKO IKO HEWANI KAKA SUBIRI KIDOGO" bas nikasubiri more than 18 hours bado hakuna kitu, nkawapigia tena nlivoeleza tatizo nkaambiwa subir nikafanya hvo mwisho simu ikakatwa, nkapiga tena nkaambiwa network iko chini hivo vocha znagoma, nikauliza " hvo leo hamfanyi biashara" kimya, nikarudia swali kimya nikabadili swali "leo watu hawaweki vocha?" Nkambiwa umeshaambiwa network inasumbua jaribu kuwa muelewa then sim ikakatwa nkasema isiwe tabu, nkanunu vocha ingne kuweka ikakubali nkajua pale nililiwa, nkapiga dakika 4 kifurushi kimeisha duuu!!!! Nkarudi kuangalia meseji yao walio nitumia inaonesha nimepewa dakika 30 nkajiuliza vp znaisha before hata 10 mins. Nkanunua tena mchezo ukawa huohuo, tena ikawa hivo hivo, nkatulia sasa leo nikaweka tena vocha stil mchezo ni huohuo nikaweka ingne bado ni hvo hvo, sasa nimeamua kesho naanza cku na kitu cha ZANTEL kwa sababu hawa "MAMA LAO" wamepata mabwana wengi hvo wanaringa, pasipo kujua wake wapo wengi, mtakaoendelea na "MAMA LAO" kila lakheri mwenzenu yamenishinda