Tabia ya umalaya wa rafiki yangu inanikera!!!

Mbona nahisi km ni ww vile ila umeamua kutumia kivuli cha Swahiba wako
 
Duh!
Nakuonea huruma sana!
...
Nilijua sometimes anakuazima hela and/or papuchi yako! Kumbe anatoa vya kwake!!!
...
Kuishi na watu inakupasa uwe mvumilivu, otherwise utapata shida sana!
...
Myself, nilikua nadelete rafiki ambae anasifa mbaya na kunikera! But later on nikajiuliza nitadelete rafiki wangapi?!!
Moreover nikagundua mwenyewe sipo complete!
...
Rafiki wa kumkwepa ni yule tu anaekuathiri direct! But mtu kuwa na majanga yake tu, hata hanikoseshi usingizi!
...
What you ought to do ni kumkumbusha tu kuwa anavyofanya sio vizuri kwa faida yake.
Kama haskii unamuacha kama alivyo, unaendelea na bussines zako bila kuvunja urafiki!
..
Not only Prophets have failed to regulates the conducts of their community but also governments fails to do so!
Utaweza wewe????
...
Sipati picha kama hata hapa MMU ningekua na rafiki wangapi if ningekua na mtazamo kama wakwako!

Asante kwa ushauri wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom