Msaada wenu wadau !!!!!!

shubilla

Member
Mar 28, 2013
21
0
Naomba mnitajie social networks niweze kudownload maana ndio nimenunua smartphone sasa nataka niendane na ulimwengu huu wa digital,please!please!!! Help
 
Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,338
2,000
Ahahaha! duh! haya anza kwa kudownload twitter, halafu ifungue kwa vlc! usisahau jf inafunguka kwa virtual dj, so udownload zote! aha
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,364
2,000
Naomba mnitajie social networks niweze kudownload maana ndio nimenunua smartphone sasa nataka niendane na ulimwengu huu wa digital,please!please!!! Help
JF
Facebook
WhatsApp
Viber
Circle
We Chat
Google+
Badoo
Tagged
Tango
Linkedin
BBM
Kazi kwako...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom