Recent content by shopping

  1. S

    Msaada hii ni HIV+/HIV-

    Salam zenu wadau. Kwa wanaoelewa kusoma hichi kipimo. Hapa inaonyesha ni Positive au Negative. kuna mstari wa kufifia upande wa Patient na mwingine unaoonekana upande wa control. Baadhi ya watu wanasema hii inamaanisha Positive wengine wanasema sio.
  2. S

    Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Hii ngoma ni kali kinoma. Acha majungu ya kijinga wewe.. Darasa hajawahi kosea kwenye ngoma zake
  3. S

    Nataka kujipima mwenyewe HIV, napataje vile vipimo?

    Wadau naomba msaada, vile vipimo vya kujipima mwenyewe HIV naweza vipata wapi. Nimejaribu kuulizia pharmacy nyingi hawauzi.
  4. S

    Kweli wahindi ni wabaguzi, tazama video wanavyompiga kijana wa kiafrika, na mwingine kuchomwa kisu

    Hii imetokea katika mji wa Goa nchini India siku chache zilizopita, ambapo kijana mmoja wa kinigeria alichomwa kisu hadi kufa. hali hii imepelekea raia wa Nigeria wote wanaoishi mjini Goa kuandamana kupinga ubaguzi unaonedelea nchini India dhidi ya waafrika na pia kushinikiza vyombo vya dola...
  5. S

    Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

    dah!kwanza hongera maana huna haja ya research nenda katangaze ndoa!binti wa kisukume ni mke mwema sikutanii!kwanza kabisa heshima,uchapakazi,usafi,upole,wanajua kulea familia, ni wazuri katika kutatua matatizo wana uvumilivu!na nyingine nyingi ukizitaka zaidi ni pm!
  6. S

    Nimependwa na mpenzi wa mtu naomba ushauri

    Jamani wanajf nina rafiki yangu anaesoma katika college flan, kanipigia cm siku moja iliyopita anadai kuwa kwa sasa yeye ni binti anayeelekea mwaka wa pili pale chuoni na toka awe hapo ni almost wasichana wote walipata wapenzi isipokua yeye na hata walifikia hatua ya kumbeza na kumcheka kwa...
  7. S

    msaada wa mawazo tafadhali...

    majina yaliyoko kwenye vyeti ni John David Alex majina ya kwenye passport ni John Alex Musa. yani hapa kilichotokea ni hichi, yeye shuleni tangu primary school aliandikishwa kwa majina ambayo mawili ya kwanza yote ni majina yake(John & david) halafu linafuata jina la tatu ambalo ni la...
  8. S

    msaada wa mawazo tafadhali...

    mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni kafanyiwa usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti vyake, lakni idara ya uhamiaji wamegoma...
  9. S

    msaada wa mawazo tafadhali...

    naomba kutanguliza samahani maana hili sio jukwaa lake lakin ni dharura... mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni kafanyiwa usajili...
  10. S

    Jamani tunaomba msaada wa mawazo tafadhari....

    mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni kafanyiwa usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti vyake, lakni idara ya uhamiaji wamegoma...
  11. S

    Naomba msasda; Ndoa inanimaliza

    mdau uwezo wako wa kujieleza upo chini sana,
  12. S

    Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

    we kijana embu mweshim kaka yako, utavunja udugu kisa mapenzi. by the way, inaezekana shemeji yako wala hakutamani ila ni tamaa zako ndo zinazopelekea uone kwamba shemeji yako na yeye anakutaman. Angalia wewe mke wa mtu sumu, atakutafutia watu waku-cameron..
  13. S

    wazazi kulazimisha nikaoe kijijini

    ok, nimekusoma mkuu. Ngoja nitajaribu kuwashirikisha..
Back
Top Bottom