Jamani tunaomba msaada wa mawazo tafadhari....

shopping

Member
May 29, 2012
20
10
mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni kafanyiwa usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti vyake, lakni idara ya uhamiaji wamegoma kumpa kibali cha kuishi huku kutokana na majina yake kutofautiana, wao wanadai kwamba inabidi afanye usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti ndo watampa kibali cha kuishi, lakini nadhani km akifanya hivi cheti chake cha mwisho kitatoka na jina hilo lililopo kwenye passport ambalo ni tofauti na vyeti vingine, hili litamletea shida baadae (kuwa na vyeti vyenye majina tofauti)...sasa wadau naomba ushauri wenu ili kuweza kumsaidia huyu mwenzetu, hapa kuna options mbili, aidha kukubali kuwa na vyeti vyenye majina tofauti au kubadili passport, suala ambalo ni gumu...

mchango wako ni muhimu sana lakini usitukane jamani..ahsanteni
 
Nakushauri ikiwezekana utumie ofisi za ubalozi wetu huko ulipo upate pa kuanzia .
Nionavyo mimi lingekuwa tatizo kubwa sana kama vyeti vingekuwa na utata. Kama issue katika passport itakuwa

labda Sir names I hope it can be solve. But nawashauri next time muwe waangalifu sana kuhakikisha kila kitu kiko in order kabla ya safari.
 
poa kaka nimekusoma,
 
kwanza poleni na.tatizo..inabidi awasiliane na.ofisi.za.ubalozi wa.tanzania..waone namna gani wanaweza.msaidia procedure za kubadili passport names using new birthcertificate..as long as hata majina yaliyopo kwenye birth certificate ni tofauti na hayo ya kwenye cheti.
 
Back
Top Bottom