Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri.
Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya Muziki.
Hawa wasanii wa kibongo bwana!
------------
Wimbo: Hasara Roho
Msanii: Darassa CMG
Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo inaelekea kufanana na ngoma ya Muziki.
Hawa wasanii wa kibongo bwana!
------------
Wimbo: Hasara Roho
Msanii: Darassa CMG