Naomba msasda; Ndoa inanimaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msasda; Ndoa inanimaliza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mansakankanmusa, Jun 9, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Jamani mimi niko ndani ya ndoa, ni miaka Tisa sasa na sijawahi ishi na mke wangu, tunakutana wiki mwezi ni mkubwa sana, kwa sababu ya umbali kikazi, wakati mwingine niliwaza kumwachisha kazi akili maono yangu yakakataa, nikajipa moyo kuwa siku moja atahama tuu, yuko karibuni kuhama nianze maisha ya ndoa kwa pamoja na laazizi, wasiwasi wangu najihisi kuzoea maisha kuishi pekeangu, na tafadhali usiseme/usinishauri hivyo, nitazoea, hapana nahisi nitapata tabu kuzoea na kitakachotokea nakiona ni kutafuta sababu tusepeshane, kila mtu achukue lwake, katikati ya ndoa yetu nilikuwa job, kikatokea kituko, wakati nyumban, nikawa kama kawaida yangu, napitia sehemu napata ya kulalia, narejea sikugundua kuwa wife kaja, nikaingia nikaoga nikalala, wakati nikiwa nimeshajilaza, nikahisi tofauti ndani ya chumba changu, ngo haiko kama nilivyoacha asubuh, kumbe mama mwenye nyumba alimwita kwa simu, kwa siri akamdanganya kuwa jamaa anamtu ndani, anaishi nae chukua funguo uangalie akaingia ndani wakawa wameweka nguo nisijue walizitoa wapi, hasa kwa kuwa fungo wanajua niapoiweka na wakati mwingine nawaachia kwa kuwa wao ndio walinzi wa vyumba vyangu kama vi3 mule ndani..

  katika maisha yangu ya ulaya pia nilikuwa na vijiguo si unajua ulaya unaweza kuwa na nguo ukija Tz ukivaa mjini utaonekana kituko, kama za kike nyingine huwezi eleweka, nazo alizibeba mke wangu akaziwahisha kwa wakwe zangu, kwa tafsiri ya haraka lile lilikuwa fumanizi, kule kijijini, na naomba nieleweke sikuwa na mwanamke, labda niwe mkweli hata wakati niko mamtoni haja zangu mimi nilikuwa ni punyeto, nikisikia hamu namvuta wife nalikung'uta puli..maisha yakasonga, ili niwe mkweli zaidi nilikuwa alimasurra nimfyatulia risasi binti mmja mkenya wakati niko chuo ulaya, alikuja chumbani kwangu akaganda akajianika uchi nikauwona, nikajikaza; hapa niliogopa ngoma yaani ukimwi..alivyoondoka tu nyumbn, mimi huyo bafuni likakamata aina flani ya dawa ya ndevu kunyolea ukipaka hulainisha kidevu ili usitoke madutu kidevuni, mzee mimi nilikata tube nikaminyia mkononi nikihakikisha mlango umefungwa, wenzetu wanasema tufunge milango sabb za kiusalama, mimi nikachukua fulsa hiyo, mlango ngwe! nikajilaza nikamvuta mamaa, ila siku hiyo alikataa kuja nikamvuta mkenya kwa vile alikuwepo dkk si nyingi na utupu niliuona nikauvuta kichwani nikala mambo.

  Hayo ndio maisha yangu hata hapa jijini Ar, sasa nirudi nyumbani wife kaenda kwao na nguo zangu na nyingine mwenyewe hajulikani, kama utakuwa umenielewa utahoji kwa nini pale nilipopangisha walinichomea kesi kwa wife?, ni kwamba mama mwenye nyumba ameolewa na mumewe yupo, mumewe na mimi na baadh ya wanawe tunatoka kila siku asubuhi ispokuw weekend na sikukuu, yule mama siku moja aliniambia Bwana wew kwa nini tusiongee dili? nikahoji lipi, akasema ..''yaani wewe unakaa mwenyewe mkeo hayupo ...'' ..mimi(yaani yeye) baba xy akja akiwa na hamu ananiita tu mama xy njoo huku anamaliza sasa wewe mzee!....'' sasa ile kaa yake nikaelewa somo.. na maneno yake...; nikapotezea na yeye akakubali chenga yangu..ikaisha, lakin kwa tafsr ni kuwa yy anawanae kama wa3 wengine ni wakuja, jumla wadad3 wabichi kabisa titi na beneke nilikuwa nateseka lkn nikawafanya dada zangu kabisa triki yangu hiyo nikaishi nay nawo..

  walinipenda niliwapenda kama kaka na dada, so alitaka ama anipe mmja! ama yeye mwenyewe; wanawake bana, wanamambo.. ingawa siku moja nilimkamata mkono mwanae mmj alipokuja kwangu.. akasema nisuburi arejee..na hakurejea tena, yakapita, nikashukuru; Huku kwa mkwe wangu, mada ilikuwa kwamba nilifanya umalaya..na likasoviwa/solve..ila mimi tangu mwaka huo 2000 katikati MWA sijawahi kuongea na mkwe wangu na ninamkwepa..mke wangu tulielewana na anajua nimemsamehe kwa KUWA hata nguo nyingine alikiri alishawahi kuzifua, so hazikuwa za malaya. ILIKUWA NI COOKED!

  kwa mkwe ni mkwe na mimi sina tatizo nae ule Ukwe ndo unanifanya hata kuonana nae machoni nimkwepe..
  mke wangu amejifungua na mkwe ndo waPo wote kumuona naona kazi? je nitamuona mwanagu kwa njia gani..mahela napeka kwa sna, wife tunaongea kila muda.. MKWE LAZIMA NIONGEE NAE/KUONANA NI LAZIMA, NIFANYE NINI wanajf, madaktari, wasomi, walimu, wanasheria, najua mumejaa jf, hiki n chuo kikuu nisaidieni..wale wanaozodoa taratibu..hii ni kitu cha kweli. nishaurini
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mwana husomeki maana umechanganya habari zaidi ya sita!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  duh,hta me cjaelewa elewa vile
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  kaka hii habari umeichanganya sana kiasi kwamba msomaji anaweza asielewe' binafsi nimegundua hoja yako ya msingi ni kwamba utakwendaje ukweni kumuona mwanao mchanga ili hali paltokea matatizo ya kinidhamu yaliyopelekea wewe kushtakiwa ukwen?

  hayo mengine ya kupiga punyet to hell with it. kuhusu la landlord wako huyu ni mchonganish na mweleze mkeo asiishi kwa kuskiliza wapambe kama anaitaka ndoa yake.

  back to the main topic, hao ni wakwe zako heshima yao itabaki kuwa wakwe tu na wala siyo wasimamizi wa amani ama furaha yako uipatayo ndani ya ndoa bali ni washiriki tu wa iyo furaha na amani. so ukisha litambua hilo wala usipate tabu just nenda kamuone mkeo na mwanao as usual wala usiwaze yaliyopita acha kama watakuuliza and as for me no one is going to ask you anything so long as now you are happy.

  Acha woga nenda kamuone kichanga mkuu. Hao hawawez kukukimbiza unless kuna hidden agenda but kama ishu ni hii wala usijiumeume rub everything in your head assume nothing has happened nenda na tena lala kabisa na mama na mkichanga. just be confident

  as usual mwl @work
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  loh......

  Anyway fungua akili yako ikubali kuwa mkeo anaakuja, akija take things slow in time utazoea tu....
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hizi shule za kata, mbona kazi.
   
 7. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  hufai hata kuingia bongo movie....duuh!
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Huyo mkwe mkwepe kabisaa! Manake ukikutana nae atajua mwanae kaopoa bomu, siku ukichemsha tena na kukaa na nguo za kike ndani zisizo za mkewe atalazimisha muachane under medical grounds (insanity inahusika hapa).
   
 9. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Bila shaka anafundishika, mshauri mansa, nadhani aki -summarise anasomeka hata Hoolywood
   
 10. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280

  Bila shaka anafundishika, mshauri mansa, nadhani aki -summarise anasomeka hata Hoolywood, umeona nini tell hem
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ndoa itakushinda tu maana kujieleza tabu...
   
 12. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  aisee nimetoka kapa
   
 13. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kama huelewi vitu rahisi hivi, Archmedes principle uliielewa kweli?...lol
   
 14. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sasa jamani we huoni maneno yalivyopandana hapo.....?
   
 15. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Haya bana...
  Naona umeishia kuipiga chabo post, hadi ukaona vilivyopandana...lol

   
 16. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  loh...sasa wewe unamaana zaidi ya moja
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nilifikiri ni peke yangu ambae sijaelewa hiki kisa, kumbe wengi.

  Endelea na ngunga.
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280

  Kaka umechnganya mno mambo kwa pamoja! Kuku, kisamvu, grisi, kokoto, mbilimbi, matembele, baga, makande,

  panadol, kiroba, andazi!!!.....  Lkn La msingi nililo daka ni kwamba huenda unapenda sana kuwa huru kuliko kuishi na mkewe ambae hajazoea kuishi

  nae.

  Mimi nakushauri hivi, kwanza ujue ulikososea sana kujizoesha kupiga PULI!

  Kufa kupo tu ungekuwa unagongea jabulani(ndom).....

  Maumbile yako hivi ni lazima mwanaume kamili ale mzigo ikiwezekana kwa wiki si chini ya mara mbili!!

  Sasa, cha kufanya ni kujitahidi uishi maisha mapya kama vile hujawahi kupiga PULI! Usiukumbuke kabisa mchezo ule

  amabao nina hofu uliofanya sana mpaka nondo yako yaweza kuwa na sugu!

  .....sijui ndicho ulichotaka!!

  La mwisho hata kama umesoma ulaya, jifunze kuwakilisha mawazo yako kwa pangilio bila kumchanganya unaempelekea

  ujumbe!......andika kitu then kisome kana kwamba hujui kitu hicho ulicho kiandika je kina eleweka!?

  Then endelea...!
   
 19. s

  shopping Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  mdau uwezo wako wa kujieleza upo chini sana,
   
 20. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280


  unajua watanzania sio wavivu lakini wengi wenu wavivu sana..wewe ndio urudie rudie unielewe! pumb$%^4' nimefaulu level zote sio shule uchwara na wala sio spooning mm. Acheni uvivu, nilikuwa nasoma maoni yenu, wote utumbo mtupu.

  mfan mdogo ni kwamba mtu mvivu, mzembe anapenda sana kujifanya yeye ni smart' nimetumia structure inayopiga chenga..fumbua tatizo lilipo wewe kama problem solver, walioedit kazi yangu nakubali, ila wengine wazembe.. kila kitu kipo wazi. ingekuwa ung'eng'e
  je?

  uzur jf tunaedit thread, ningeona pana tatizo ningefanya hivyo..watanzania amkeni. syria na kwingineko wanachachafya serkali zao, na wanamatatizo nafuu zaidi yetu, na wenye shida kupitiliza tumelala, kazi uvivu tu,, na sio wote najua sio wote!
   
Loading...