Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

Anayefahamu sifa za mabinti wa kisukuma

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
kwa yeyote anayewafahamu mabinti wa kisukuma naomba atiririke hapa, kuna rafiki yangu amempata binti wa kisuma yupo kwenye mpango wa kutaka kutangaza ndoa, sasa anafanya research juu ya tabia zao
 
Yaani amefanya uharibifu kwa dada yangu alafu ndio anafanya research, kwanini asifanye research kabla ya kumtokea?je kama ni Msukuma aliezaliwa Dar au sehemu nyingine lakini huku lake zone hata hapajui inakuaje? maana makabila siku hizi ni ya kujaza tu kwenye document maana wengine hata kwao hawapajui kivile, mtu anakuwa msukuma lakini ana tabia za kikwere kwa kuwa amezaliwa Chalinze na kukulia kule hivyo research yake inaweza toa majibu tofauti na sie wasukuma wa huku Ihayabuyaga
 
mwambie akaribie nyumbani,sifa zote tunazo kuanzia kushika jembe,kwa bed,kupika ugali wa ukoo mzima (strong women),heshima ndo usiseme...............................bila kusahau usafiri wetu wa ndani ni fisi.:focus:
NB: mshauri aoe mtu na sio kabila la mtu la sivyo atatafuta sanaaaaaa
 
Umekimbilia huku. Si ungesema tu "ngoja nikuitie Platozoom akupe sifa zangu"
 
Umekimbilia huku. Si ungesema tu "ngoja nikuitie Platozoom akupe sifa zangu"

mmmmh hata kucha za vidole vya mkono huvijui sembuse kunidescribe.............mbwembwe zako kama Bishanga vile.
 
Last edited by a moderator:
mwambie akaribie nyumbani,sifa zote tunazo kuanzia kushika jembe,kwa bed,kupika ugali wa ukoo mzima (strong women),heshima ndo usiseme...............................bila kusahau usafiri wetu wa ndani ni fisi.:focus:
NB: mshauri aoe mtu na sio kabila la mtu la sivyo atatafuta sanaaaaaa
Kweli Asnam wanawake wa kisukuma si wavivu tena wakarim kupita kiasi. Huwa hawalalamiki hata kama utajaza ukoo mzima hapo nyumbani kwako. Kwa kifupi wako juu sasa sijui yeye anataka nini
 
Last edited by a moderator:
dah!kwanza hongera maana huna haja ya research nenda katangaze ndoa!binti wa kisukume ni mke mwema sikutanii!kwanza kabisa heshima,uchapakazi,usafi,upole,wanajua kulea familia, ni wazuri katika kutatua matatizo wana uvumilivu!na nyingine nyingi ukizitaka zaidi ni pm!
 
Kweli Asnam wanawake wa kisukuma si wavivu tena wakarim kupita kiasi. Huwa hawalalamiki hata kama utajaza ukoo mzima hapo nyumbani kwako. Kwa kifupi wako juu sasa sijui yeye anataka nini
anataka negative zao ili alinganishe mizani yake...si unajua binadamu kwa kupima kilo hatujambo.
 
Hawana matatizo, yawezekana wakaonekana washamba sababu ya upole na uadilifu. Ni wavumilivu pia hawana tamaa za ovyo ovyo. Ila usitumie advantage ya utulivu wao ukamnyanyasha. Hutafanikiwa asilani. Ila hao ndio wa kuoa.

Ni miongoni mwa wanawake wenye maadili sana wachache Tanzania na pengine duniani. Ukiona anatatizo la ushamba, wewe mfundishe tu. Wanafundishika sana wale na ni watii. Mwanamke wa Kisukuma mwonyeshe mapenzi ya kweli tu.

Utaona ulichelewa kuoa.Nimekaa nao sana kule Mwanza na Shinyanga nawafahamu. Hawapendi shari na wachapa kazi sana. Wanapenda watu na si wabaguzi.
 
wako poa wasukuma, ni safi sana, heshima ndio kila kitu. mambo mengine tamaa zako tu
 
Hiyo niliipata kwa mama mmoja wa Kisukuma...alikuwa anasimulia jinsi walivyo watulivu wakati wa mazoezi ya push ups za viuno!!!

mmmmmh mpaka nakusimulia hayo mambo ya sekta nyeti mlikuwa eneo gani la tukio........mmh
 
Back
Top Bottom