Msaada hii ni HIV+/HIV-

shopping

Member
May 29, 2012
20
45
Salam zenu wadau.

Kwa wanaoelewa kusoma hichi kipimo. Hapa inaonyesha ni Positive au Negative. kuna mstari wa kufifia upande wa Patient na mwingine unaoonekana upande wa control. Baadhi ya watu wanasema hii inamaanisha Positive wengine wanasema sio.

7482e71639a2c839f5ca8b083bf393b9.jpg
 
KipajiTz

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
640
1,000
Duuuuhhh,hapo kweli ndio utaelewa kwanini hospital pekee ndio mahali ambapo "Think positive" ni kauli tata
 
Neelie

Member
Oct 3, 2015
61
150
That is positive hata kama ni faint line. Ila 1st test ikiwa positive u must confirm with another test to get a final result
 
Ugiligili

JF-Expert Member
Jun 20, 2014
3,035
2,000
Sikiliza mkuu.. "That is not enough kusema ur positive..cuz majibu hayajakamilika..pima trna kwa vipimo vyote viwili hapa utapewa stress tu..
 
Damy Scotty

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
717
500
Its neither positive nor negative'

Nikuondoe hofu mkuu, yawezekana wakat unajitoa damu mikono yako ilikua na maji kias flan so imefanya maji yareact na damu' na ndo mana unashauriwa kupaka spirit kwa pamba hapo sehem husika unayotaka kuchoma sindano ili kuondoa bakteria na kitu chochote knachoweza kusababisha athari kwenye matokeo..lakin pia hata ukiwa na malaria sometimes inaweza athar kwa namna moja au nyingne'

Na la mwisho kabisa ikitokea hvyo inabid ukapimie kwenye kipimo kilicho juu ya hicho
 
mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
3,041
2,000
Ungeenda angaza Tu kujua kwa ushauri nasaha Sasa ona imo humo kuna kulala hapo .
 
Kileghe

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
350
500
Mtoa mada usiwe na wasiwasi hayo majibu sio sahihi (tunaita invalid) sababu.

1; Hicho kipimo cha determine kwa sasa hakitumiki tena, sababu kwa nini hakitumiki sitazieleza.
2; Vipimo vya aina hiyo vingi vilivyopo sokoni ni batili na vimekwisha muda wake wa matumizi wajanja wanajua walichokifanya kwenye tarehe za kuisha muda wake.

Cha kufanya; nenda kwenye kituo chochote chenye kupima vvu na ushauri nasaha, wataongea na wewe vizuri na kukufanyia vipimo, kwa sasa tunatumia sd bioline na tunahakiki kwa kutumia unigold.

Nawashauri wote wenye tabia ya kununua vipimo vya HIV na kujipima wenyewe muache mana kupima ni kazi ya kitaluma kama wewe sio taaluma yako utakosea tu, mfano kila kipimo kina muda kikomo wa kusoma majibu huo muda ukipita mistari miwili inatokea.
 
Geniustin

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
3,888
2,000
Its neither positive nor negative'

Nikuondoe hofu mkuu, yawezekana wakat unajitoa damu mikono yako ilikua na maji kias flan so imefanya maji yareact na damu' na ndo mana unashauriwa kupaka spirit kwa pamba hapo sehem husika unayotaka kuchoma sindano ili kuondoa bakteria na kitu chochote knachoweza kusababisha athari kwenye matokeo..lakin pia hata ukiwa na malaria sometimes inaweza athar kwa namna moja au nyingne'

Na la mwisho kabisa ikitokea hvyo inabid ukapimie kwenye kipimo kilicho juu ya hicho
Hahhaaha, Unajua kumpa moyo Mzee .

Hiyo ni POSITIVE mzee, Labda kama hiko kipimo kilifanyika/Tumika Muda mrefu ikaleta """False Positive"""

OtherWise; Its is a Positive Result, ajiridhishe na kutumia kifaa kingine kinaitwa """UNIGOLD"""
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,128
2,000
Salam zenu wadau.

Kwa wanaoelewa kusoma hichi kipimo. Hapa inaonyesha ni Positive au Negative. kuna mstari wa kufifia upande wa Patient na mwingine unaoonekana upande wa control. Baadhi ya watu wanasema hii inamaanisha Positive wengine wanasema sio.

7482e71639a2c839f5ca8b083bf393b9.jpg

Dally Kimoko ' imeshakolea ' hiyo Mkuu. Anza mapema kutumia tu dawa zao zile za ARV na uhakikishe unakula sana, unashiba, unafanya mazoezi ya hapa na pale, usibanduane tena, usitongoze kabisa na zingatia sana ulaji wa matunda na maziwa. Pole sana!
 
Kileghe

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
350
500
Jinsi ya kutafsiri majibu
1;strong reading
2;weak reading
3;very weak reading

Kutambua haya yote hii ni taaluma, waacheni wenye taaluma zao wawapime na kukutafsiria majibu.
 
Kileghe

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
350
500
Dally Kimoko ' imeshakolea ' hiyo Mkuu. Anza mapema kutumia tu dawa zao zile za ARV na uhakikishe unakula sana, unashiba, unafanya mazoezi ya hapa na pale, usibanduane tena, usitongoze kabisa na zingatia sana ulaji wa matunda na maziwa. Pole sana!

Naomba nikupinge mkuu, kwa sababu zifuatazo.
1;HIV Determine haitumiki tena,imeondolewa kwenye mzunguko.
2;Hatujui ni muda gani ametumia kusoma majibu, kajaribu wewe kujipima mkuu kwa kutumia hiki kipimo usisome majibu yako mpaka asubuhi uone mistari mingapi itatokea.
3;Mwenye mamlaka ya kututhibitishia majibu ya vipimo ni dactari pekee, sisi wengine tumshauri aenda vituo vya afya kitengo cha VVU na ushauri nasaha atapata msaada mzuri zaidi

Samahani lakini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom