msaada wa mawazo tafadhali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa mawazo tafadhali...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by shopping, Aug 1, 2012.

 1. s

  shopping Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni kafanyiwa usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti vyake, lakni idara ya uhamiaji wamegoma kumpa kibali cha kuishi huku kutokana na majina yake kutofautiana, wao wanadai kwamba inabidi afanye usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti ndo watampa kibali cha kuishi, lakini nadhani km akifanya hivi cheti chake cha mwisho kitatoka na jina hilo lililopo kwenye passport ambalo ni tofauti na vyeti vingine, hili litamletea shida baadae (kuwa na vyeti vyenye majina tofauti)...sasa wadau naomba ushauri wenu ili kuweza kumsaidia huyu mwenzetu, hapa kuna options mbili, aidha kukubali kuwa na vyeti vyenye majina tofauti au kubadili passport, suala ambalo ni gumu...  mchango wako ni muhimu sana lakini usitukane jamani..ahsanteni
   
 2. C

  Cartoons Senior Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hamna mtu anayeruhusiwa kuwa na mjina tofauti labda kama ni a.k.a. fanyeni utaratibu wa kuingia mahakamani ili ale kiapo cha majina yapi kati ya hayo atakuwa akitumia. waoneni watu ubalozini kwa msaada zaidi kwani ubalozi upo kwa ajili ya mambo km hayo.
   
 3. Y

  YOUNGLAWYER New Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubaliana na cartoon,he /she properly advised yuuuuuuuuuuu
   
Loading...