msaada wa mawazo tafadhali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa mawazo tafadhali...

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by shopping, Jul 31, 2012.

 1. s

  shopping Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  naomba kutanguliza samahani maana hili sio jukwaa lake lakin ni dharura...  mi na baadhi ya wenzangu tupo masomoni nje ya nchi, kuna mwenzetu mmoja ana tatizo, ni kwamba jina lililopo kwenye passport yake ni tofauti na majina ya kwenye vyeti vya form 4 & 6. hapa chuoni kafanyiwa usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti vyake, lakni idara ya uhamiaji wamegoma kumpa kibali cha kuishi huku kutokana na majina yake kutofautiana, wao wanadai kwamba inabidi afanye usajili kulingana na majina yaliyopo kwenye vyeti ndo watampa kibali cha kuishi, lakini nadhani km akifanya hivi cheti chake cha mwisho kitatoka na jina hilo lililopo kwenye passport ambalo ni tofauti na vyeti vingine, hili litamletea shida baadae (kuwa na vyeti vyenye majina tofauti)...sasa wadau naomba ushauri wenu ili kuweza kumsaidia huyu mwenzetu, hapa kuna options mbili, aidha kukubali kuwa na vyeti vyenye majina tofauti au kubadili passport, suala ambalo ni gumu...  mchango wako ni muhimu sana lakini usitukane jamani..ahsanteni
   
 2. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Ungetoa mfano wa majina yakoja kama
  Labda yeye passport ni XYZ na vyeti ni XMZ. Au? Maana haitoshelezi bila kuweka. Yalivyo unaweza tunga majina hata ukitaka tumia majina ya matunda kuonyeshea yalivyo. I hope umenielewa.

  Ila kama ni togauti kabisa yaani ABC na XYZ duh???

  Haya majina yamekaaje wataalamu waelewe vizuri.
   
 3. s

  shopping Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  majina yaliyoko kwenye vyeti ni John David Alex
  majina ya kwenye passport ni John Alex Musa.

  yani hapa kilichotokea ni hichi, yeye shuleni tangu primary school aliandikishwa kwa majina ambayo mawili ya kwanza yote ni majina yake(John & david) halafu linafuata jina la tatu ambalo ni la baba(Alex), hivyo vyeti yake vya Form 4 & 6 vinatumia jina la John David Alex.
  alipokuwa anafuatilia passport alipoambiwa kuandika majina matatu, ndo akajiachanganya akaandika jina lake (John), jina la baba(Alex) na jina la babu(Musa), hvyo passport ikatoka na jina John Alex Musa.
   
 4. q

  qsndebile Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  aonane na mwanasheria, atamshauri what to do
   
Loading...