Recent content by shizo one

  1. shizo one

    JamiiForums Tanzania Nane Nane: JK kapewa zawadi ya mashamba na wanyama

    Ukisoma ww imetosha !
  2. shizo one

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni nani?

    Polepole ni inteligent na hazina nzuri akiwa kijana kwa taifa letu na alichozungumza jana ndio ukwel wenyewe msijifanye kujitoa ufahamu huyo mkimbizi wa siasa kamwe hatokuja kushinda msipoteze muda wenu na hicho chama chenu cha ukanda
  3. shizo one

    JamiiForums Tanzania Nane Nane: JK kapewa zawadi ya mashamba na wanyama

    Tuache wivu usio na tija mbona mliomkodi awasaidie ktk urais kupitia ukiwa alikuwa anawanunua watu km bodaboda na na masheik fek akijifanya wanamtaka agombee Urais huku wakimpa pesa za kununulia fomu ya kugombea hamlisemi hilo?
  4. shizo one

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Cna muda wa kuyackiliza majizi yaliyovaa ngozi ya kondoo watafuatilia hao waliohongwa bil.10 ili kumuuzia chama mtu ambaye alikuwa anahubiriwa na viongozi hao hao wenye umoja usio na uhakika wa kutambuliwa rasmi kisheria pale mwembe simba.
  5. shizo one

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

    Sasa shule inaingiaje kwenye uhusiano? jipange!
  6. shizo one

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Hana ubavu huo na huo urais labda wa karatu na ufipa.
  7. shizo one

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Huo ni ukosefu tu wa maadili na kutojitambua.
  8. shizo one

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kikao Cha UKAWA hakina msisimko?

    Poleni ukiwa maana baadhi ya viongozi wa umoja wenu huo mmekuwa na utapia demokrasia na uroho wa madaraka, ushauri wangu kwenu jielekezeni kwenye ubunge na udiwani na hii ni kwasababu huo Urais mnaogombania hamtoshinda hata kwa bahati mbaya.
  9. shizo one

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    Mada ya kipuuzi
  10. shizo one

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Inasikitisha mno
  11. shizo one

    JamiiForums Tanzania Je, Raila Odinga atakuja kusaidia kumpigia kampeni rafiki yake?

    Km urafiki ni wa kwao cc tunahitaji maendeleo katika nchi yetu na co hoja za urafiki
  12. shizo one

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Acha mazingaombwe
  13. shizo one

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Haya ndio tunayoyaita mazingaombwe
  14. shizo one

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

    Kwa utawala huu wa sasa kipere kimepata mkunaji
  15. shizo one

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

    Ngumu kumeza
Back
Top Bottom