Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Leo huko lindi bi Mwantum wakati anasoma hotuba kwa JK wana Lindi wamemzawadia JK mashamba maeili yenye ekari 1000@. Mbuzi 20. Vifaranga 1000 vya kuku na zawadi nyinginezo.
Sasa swali langu ni:?
Hao wana Lindi hivi wanaujua mshahara wa Rais kweli ?
Wana ukwasi kiasi gani .....?😁😁
Basi ngoja nisiendelee kuuliza.
Sasa swali langu ni:?
Hao wana Lindi hivi wanaujua mshahara wa Rais kweli ?
Wana ukwasi kiasi gani .....?😁😁
Basi ngoja nisiendelee kuuliza.