Mechi za mwisho wa ligi huwa hazina Mvuto kama Bingwa kishapatikana
naunga mkono hoja,pia hakina jambo la ziada zaidi ya kujadili mambo ya kifamilia tu.
Mechi za mwisho wa ligi huwa hazina Mvuto kama Bingwa kishapatikana
Naambiwa kimenuka! Umoja wa Kamati ya WanaBabeli
Profesa anadai alipwe mshahara wa rais ili amuachie dr nafasi..
Watanzania na Dunia nzima ilikuwa ikifuatilia kwa karibu saana mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM, hali hii imekuwa tofauti kabisa na michakato ya CDM, NCCR,NLD na CUF na hatimaye UKAWA. Bila shaka Watanzania kwa ujumla wao wameulinganisha michakato ya UKAWA kuwa ni sawa na Vikao vya Kamati za HARUSI tu, kwani watu wenyewe wachaaache, tena hata kamera za Wandishi wa habari kutoka Mataifa makubwa Duniani kama ilivyotokea kwa CCM hawapo kwenye Mchakato wa UKAWA. Je kuna haja gani kwa mtu mwenye busara na hekima kuamini kuwa kuna vyama vya upinzani vyenye nguvu Tanzania? au kuna vyama vya kutafutia Ruzuku na umaarufu kama wanavyofanya akina Sugu, Lisu, Mbowe, Mnyika, Wenje n.k ?
Profesa anadai alipwe mshahara wa rais ili amuachie dr nafasi..
Pale hakuna lolote
Acha papala bushlawyer, Makene amatoa Maelezo ambayo yanaeleweka vizuri.Wakati ukawa wanatoa taarifa ya kutangaza wagombea wao kulikuwa tayari na maelewano kwa asilimia kubwa lakini ghfla Sikh moja kabla, time ya uchaguzi imetangaza majimbo mapya 26. Ili ukawa itoe tangazo lake kwa umma ni muhimu kujadiliana na kupata wagombea ktk majimbo mapya pia. Acha papala subiri muda ulioahidiwaNimekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa za UKAWA, hasa baada ya kuona na kusikia dhamira yao ya kuunganisha nguvu ili kuingoma CCM madarakani. Lakini nashangazwa na ahadi za uongozo zinazotolewa na wasemaji wa UKAWA, maana tarehe 11 walidai kwamba mgombea URAISI kupita umoja huo atatangazwa mmnamo tarehe 14 July 2015, hadi kufikia jana blah blah kibao na hadi kupelekea baadhi ya viongozi waandamizi kutoonekana kwenye mkutano wao, sasa leo mnakuja tena mnatuambia kwamba tusubiri siku saba, kama sio ubabaishaji ni nini? Mnapunguza nguvu maana sisi tunasubiri makubwa kutoka kwenu lakini kama nyie hamuelewani semeni moja
Nawasilisha.
Hiyo laana ikosekuku andam wewe unae msujudia MBOWE kama munguwako huna la kushauri wala kukosoa pale ambapo haikustahili! jitambueWatoto waliokuzwa na pesa za laana utawajua tu. Hakika hiyo laana itawatafuna mpaka kizazi cha tatu watoto wa makada.
kwani yale ma ccm yalikuwa hayabadili ratiba? . kitu kizuri hakitaki haraka
ukawa sio chama ni sacoss ya mtu na mkwe wake wanajipanga kugawa miradhi.