1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro
nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA
Kwahiiyo wewe unaona huyo ni msafi sanaaaa. Huyo atakuwa hovyo kuliko waliopita. SUBIRI UTANIAMBIA. ishu ni chama sio mtu . Hata uweke malaika ccm mambo ni yaleyalemaskin wapinzani sijui kampen zao zita kuwaje, maana wamezoea kutafuta kura kwa madhaifu ya mtu...kwa mh. Pombe sijui watasemaje.
Kuhama chama kimoja kwenda kingine nayo imekuwa sifa ya kujitangazia humu jf!! Unahama wewe mmoja kutoka ccm kwenda chadema huku wakihama watu 100 kutoka ukawa kwenda ccm....Jana kadi ya CCM nishaichoma, kesho naenda UKAWA, i hope cdm watanipokea, maana wengi sana jana wameaaga ccm rasmi, sio utani... jana CCM imejizika
We utakuwa mgeni wa katiba au hufuatilii kabsa mambo ya siasa. Waziri mkuu lazima awe mbunge mchaguliwa
Mkuu! Yaani huwezi amini kama kuna wapinzani nchi hii, angepita lowasa wangekuwa wamejazana humu kumdadafua EL, na angepitishwa membe wangekuwa saiv wanapeana matumaini ya ukawa kuingia ikulu. Lakini wamechaguliwa jembe hata hawana pa kuanzia kujidangana tena kuingia ikulu.
R.I.P UKAWA
wew mlevi sasa unalopoka tu.
Ni UKAWA 2015
Kwa lipi has a alilolifanya au unataka apate cheo ili arudishe gharama za maandalizi ya miaka 8Nataka sanaa Membe awe wazir mkuuu sanaaaa..ntafunga hilo litokee
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro
nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA[/
Kidogo unanishawishi kuamini...acha muda uzungumze
membe akiwa rais bifu lazima liendelee, atawekewa spika wa kumpa shida bungeni na lazina apigwe skendo mpaka aachie madaraka1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro
nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA