Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

Status
Not open for further replies.
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA

Uh Makamo kitakuwa cheo kipya
 
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA
kwa membe haitowezekana kabisa kweni waziri mkuu lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa na kwa mmakamo nayo inakuwa ngumu
 
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA
Akili yako butu kweli membe atapataje uwaziri mkuu wakati hagombei ubunge.
 
maskin wapinzani sijui kampen zao zita kuwaje, maana wamezoea kutafuta kura kwa madhaifu ya mtu...kwa mh. Pombe sijui watasemaje.
 
maskin wapinzani sijui kampen zao zita kuwaje, maana wamezoea kutafuta kura kwa madhaifu ya mtu...kwa mh. Pombe sijui watasemaje.

Itabidi wa focus kwenye udhaifu wa chama i.e ccm kwa ujumla wake
 
Magufuli akiwa Rais, Waziri Mkuu mtarajiwa ni Lukuvi
Critical1 nimependa sana huu utabiri wako, I wish iwe hivyo. Katika mawaziri ambao kwa mtazamo wangu ni watendaji wazuri, basi Lukuvi number moja ila tungoje tuone.
 
Last edited by a moderator:
mbona muhongo alikuwa waziri wa nishati.. bila ya kuwa mbunge. FIKIRI.

We utakuwa mgeni wa katiba au hufuatilii kabsa mambo ya siasa. Waziri mkuu lazima awe mbunge mchaguliwa
 
yamkini lakini gngoja tuone kipyenga cha mwisho ila silazima wawe hao pia
 
1. Rais. Mh. John Pombe Magufuli
2. Makamo. Mh. Amina Sali Ali.
3. Waziri mkuu. Bernad Kamilious Membe.
4.Mambo ya nje. Migiro

nasisitiza sitanii hapa wala usifikirie Mdudu UKAWA

Umesahau kwamba Membe hagombei Ubunge?
 
Magufuli akiwa Rais, Waziri Mkuu mtarajiwa ni Lukuvi

Hiyo serikali itakuwa siyo ya kuchezea watendaji wanaweza kuwa wanarambwa bakora had hadharani wakikosea,ikitokea itakuwa bonge la collaboration.
 
Jana kadi ya CCM nishaichoma, kesho naenda UKAWA, i hope cdm watanipokea, maana wengi sana jana wameaaga ccm rasmi, sio utani... jana CCM imejizika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom