Recent content by shiumiti

  1. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Mpakomatimba
  2. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini siwezi kumwambia hisia zangu

    Duh!!!! Utaumia bila sababu ya msingi. Ni vyema ukamwambia jinsi unavyojisikia.....
  3. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Jaymillions lina kasoro

    In fact matangazo mengi tu yana kasoro.....ndo maana yanaitwa matangazo...NOT REAL
  4. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Sua kwa hali hii hatufiki

    Kaza buti dogo, Shule ya SUA si lelemama!!!!. Kama ungetaka ubwete unge-apply-IFM na vyuo vingine. SUA inafahamika na hata wenye nywele nyeupe.......acha mchezo dogo, kula kitabu kisawasawa.....
  5. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

    Kunywa sana maji!!!!!! na jitahidi kula matunda ili kulainisha choo....
  6. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Mgeni wa Nani?

    Ni mgeni wa Watanzania wote kwa ujumla wake
  7. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Sinema za Bongo Achora tatuu hadi kwenye makalio

    Hivi huyu mwanamuziki wa Bongoflava... NEy wa Mitego aliyeimba "Makahaba wenye viwango wako Bongo Movie" alikosea au aliwaonea wasanii wa Bongo Movie? Nafikiri ni vyema tukatafakari kuhusu suala hili
  8. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni utapeli au ni kweli?

    Kaka shtuka shtuka kaka!!!!!
  9. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

    We Pimbi kweli.... Kozi za kike hizo, unasema ngumu!!!!!!!!!!!!!
  10. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Ni kile kilichokuwa pale Iringa, ambacho kwa sasa kimenunuliwa na Kanisa Katoliki (ni tawi la Chuo cha St. Augustine cha Mwanza)
  11. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Hapa ni kupoteza Ada

    Huyu binti sio anasoma MAlecela Secondary
  12. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Kaka kwa hapo nimeshindwa kwa kweli.....
  13. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

    Kama uko serious 7.5ml
  14. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Natafuta Room Mate awe Mwanamke.

    Kuwa muwazi tu mwanawani........sema unachotaka directly, usizunguke! Kila la kheri.
  15. shiumiti

    JamiiForums Tanzania Mitsubish Fuso inauzwa

    Weka picha basi, angalau tuone.
Back
Top Bottom