Mitsubish Fuso inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitsubish Fuso inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kiumbe duni, Jan 12, 2012.

 1. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni box body, engine 17 210, ipo katika hali nzuri sana,inatembea na bei ni nzuri. Serious bayers only. 0713664326,0784431214
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Bei nzuri ndo bei gani?Acha ushamba.Weka bei hadharani.Biashara za kuficha bei zilikuwa enz za mwalimu
   
 3. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimetii amri mkuu, Inaanzia milioni 30.5 maelewano yapo.
   
 4. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hapo umeonyesha uzalendo.hata mtu akitaka kukufuata inakuwa rahisi
   
 5. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Inaanzia milioni 30.5 inaishia ngapi?
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Bei nzuri ndo ngapi?
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tan ngapi?
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani mwisho ni kwenye milango yake ya nyuma
   
 9. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Single ( tani 10)
   
 10. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utapatana vip wkt hujaiona?.
   
 11. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Weka picha basi, angalau tuone.
   
 12. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamna tatizo mkuu, ipo njiani inapiga mzigo ikirudi nitaiweka picha yake. Si unajua chombo kinauzwa huku kinaendelea kupiga mzigo, ni matatizo tu mkuu.
   
 13. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona mmeoiga kimya hii Fuso bado ipo na sasa tumeongeza na scania kipisi 124 nayo ipo sokoni kama kawaida inakula mzigo huku inauzwa.
   
Loading...