Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

Nauza GX 100 TOYOTA CHASER YA MWAKA 2000

Dah!! mi nimeipenda ila hiyo bei kubwa sana.
 
Kaka M 6 mwisho wangu, natuma kijana kama upo serious niambie tufanye biashara.
 
Gx100 ikiwa chaser tabu sn kwny kuuza lazma utapungz bei ikikukalia, wauzie walengaji wakupe pesa y haraka, 4cylinder ndo ipp kwny market
 
Back
Top Bottom