Tangazo la Jaymillions lina kasoro

Tangazo la Jaymillions lina kasoro

mpaka sasa washindi wa milion 100 hawazidi watatu.

Kwani huyo wa 2 na 3 wamepatikana lini maana siku zote nnajua baada ya yule waliyetuzugisha wa kutoa iringa hajapatikana yeyote mpaka sasa
 
Hao Voda ni waongo ni matapeli, mdogo wangu walimdanganya walimpigia cm kuwa alishinda miliono100 lkn hadi sasa wanamzungusha wanamdhalilisha tu police,mahakamani kisutu walimpeleka kwa ajili ya kuapa.Wanamdanganya kila siku akiwepo Zembwela ambaye ndiye balozi wao vodacom kwa ile promotion, lkn nimepanga hadi ikifika 25/04 tutaenda mahakamani,kwanza tutaanzia ktk vyombo vya habari,kwanza ushahidi wa kwanza upo ktk vyombo vya habari cos walimtangaza kuwa yeye ni mshindi wa pili wa vodacom tangu february, hadi hii leo ile card yake ya ATM hawataki kumkabidhi na wakati wao wenyewe walimwambia afungue account.

Ina maana mdogo wako baada ya kushinda alipotakiwa awahonge kidogo aliwakazia ndio maana wanamzungusha au!!!?😱
 
Wizi wa wazi serikali si iko likizo kungojea uchaguzi mkuu? Voda endeleeni kuvuna wajinga ndo waliwao. Wagambire stupid mbele ya wife zao
 
hawa TCra watakuwa wananufaika na wizi wa voda ktk jmilioni na ule wizi wa sh100 ktk salio.
 
Hili tangazo la Jmilions linadanganya watu kwa kusema mamilion 100 kutolewa kila siku

TCRA zuieni haya matangazo\uongo.

mil 100 mtu mmoja, mil 10 watu kumi, mil 1 watu mia, jumla ni milioni 300 kila siku, huu ni uongo wa wazi kabisa. . . wanakusanya tu hela
 
beibby godoro ulioleta sio kabisaaaa

HAPO HATA MUME WAKE HAJAINGIA NALO NDANI KASHAJUA HALINA CHAPA YA GODORO ALITKALO


USELESSSSS TANGAZO

Halafu kijigodoro chenyewe alichokuja nacho mara ya pili sasa, kimesinyaa halafu kidogoooo sijui futi 3?, wakati wana magodoro mazuri sokoni...
 
kweli voda bwana wanakera.....ni karibu mwaka sasa kila uchwao nakatwa tsh:400 na point kadhaa kila siku...nilipokuja kugundua hilo ikabidi niwapitie hapo voda shop yao kwa maelezo .....cha kushangaza nikapewa maelezo kua nimejiunga na huduma ya kupokea maandiko matakatifu ya Quran kila siku.....na sikuwahi kupata any txt from them about that issue ....cha ajabu mimi ni mkristo na singehitaji maandiko hayo kwa ulazima huo wa daily studying sababu ningependa zaidi kujua ya kikristo yanayonihusu....Swali linalonitatiza ni....kwanini nipewe jibu la kwa sasa huduma hii hutaweza kujitoa labda ujaribu wakati mwingine?........inatatiza kidogo
 
Sijawahi kuona matangazo ya kijinga kama ya Qfl godoro Dodoma....huwa nabadili channel nikiyaona....pmbav kabisa shenz zao

kuna hilo linaoneshwa siku hizi kuna akina dada kibao........linaboa vibaya mno.
 
In fact matangazo mengi tu yana kasoro.....ndo maana yanaitwa matangazo...NOT REAL

Ni kweli ila haya ya Qfl godoro Dodoma yamezidi...hili tangazo lao jipya wamejaza wadada kibao wazuri ila wameshindwa kuwatumia bora hao wadada angepewa Katavi angewatumia vizuri
 
Last edited by a moderator:
Nimeliangalia hili tangazo kwakweli bado sijapata tafsiri, chumvi ipo kwa pembeni hapo

May be tungeanza kulidadavua hatua kwa hatua

  1. Chumvi yaweza kuwa ni kwa ajili ya kulia hilo yai..
  2. Kijiko nacho sijui cha kuwekea chumvi au kukologea kitu au kulia kitu
  3. ....Tuendelee kudadavua, tutapata tu majibu ....
Ndrukiiiiiiiii.......
 
Back
Top Bottom