Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

Naona mnataja tu PGM, PCM, PCB; mbona sioni mtu ametaja RPG? Nadhani hiyo ndo ngumu kuliko zote. Kwi kwi kwi!
 
mie nilijua jukwaa hili nitakutana na innovation,creativity kuliko haya mambo ya kukariri nelkon na kupata A....
 
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK

kombi yoyote ambayo siyo kipaumbele chako ni ngum. kwa mtu anayependa PCM, ukimpeleka HGK, anaweza taga
 
hakuna mtu anayependa mambo magumu mi naona HKL , HGE , HGL and the like ni magumu sana

ugumu wa comb. unatokana na kujipanga vibaya toka mwanzo that's all
 
Hivi mkizungo ulikunywa chai kabla ya kutoa hii comment? maana naona comment yenyewe haina kichwa wala miguu.

habari yako mkuu master,,,,,ugumu wa kombi ni nini,,,,unatukana na nini,,,,,kwngu mie mtu wa hesabu na fizikia,,,,sioni uwezekano wa mtu kusoma kiswahili,,,histiria na litrature madude yote yale bila pai,,,mavitabu yoooote,,na kunukuu,,,siwezi ni ngumu sana,,,,,,,hivyo mantiki ya ugumu inategemea uwezo wa akili mtu,,,mazingira aliyojegewa,,,na kipaji kilivyo paliliwa,,,,na kuiendeleza shauku tarajali,,,,nje ya hapo kutaja kombi fulan ni ngumu ni hoja isiyo mshiko,,ila inayo sifisha kitu na kudunisha kingine na kujengea wanafunzi woga,,,na wengine kujisifia mahiri bila kujua wote wamebeba kilo kumi japo mmoja za mawe mwingine za pamba,,,,zote kilo kumi kwa mantiki,,,,,,,barikiwa
 
kombi yoyote ambayo siyo kipaumbele chako ni ngum. kwa mtu anayependa PCM, ukimpeleka HGK, anaweza taga
Wewe,hakunaga kitu kama hicho,mtu wa PCM kusoma HGK inawezekana lakini mtu wa HGK hawezi gusa PCM,sio tu kwamba atataga bali atakufa.
 
Hiyo kombi siyo ngumu labda wewe ndio mgumu kuielewa,na kama kipo hebu kitaje tukueleweshe.
 
Hakunaga BAM kama umesoma physics na geography......hiyo ilikuwa PURE MATHEMATICS la sivyo unatuzuga....hujasoma PGM wewe
 
PGM NI KOMBI NGUMU.....NAKUBALI 100% KWA SABABU.......UHUSIANO ULIOPO KATI YA GEOG NA MATHS NI MDOGO....MTU ANAKOMAA NA MATHS AKIGEUKIA GEOG ANASOMA PHYSICAL ISSUES LIKE MIAMBA.....MVUA N.K...........TOFAUTI NA PCM AMBAYO CALCULATION KILA KONA....................ANAYESEMA HAKUNA COMB NGUMU ATAKUWA AMESOMA HKL HGL NA HGK...ulizieni watu waliopiga misuli hii.....Three ya PCB = one ya HKL nani anabisha
 
Back
Top Bottom