Recent content by shirima-wa-pili

  1. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Faida za Aloe vera kwa kuku jamii ya Broiler.

    mmea wa aloe vera umekua ukitumika kwa miaka mingi kama tiba na kinga kwa binadam na mifugo. Hali iyo ilipelekea shirika la US National Library of Medicine,pamoja na vet world,kufanya utafiti katika mmea huu pamoja na majaribio yale kua na majibu mazuri zaidi. Utafiti huo ulifanyiwa majaribio...
  2. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Haki zako za msingi kabla hujakamatwa na polisi

    Zifahamu haki zako za msingi kabla hujakamatwa na police, Polisi atapokuambia upo chini ya ulinzi, unahaki ya kumwambia usinizingue. Police atapo kupiga kibao,unahaki ya kumpiga dumi,mateke nk. Kufikia kumpiga police atakua na haki ya kikatiba na sheria kukuvunja mbav n.k tii bila shurt
  3. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali wa kitanzania!

    kuna ka website kana itwa funzi kanafundisha poa sana.
  4. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kununua pesa chafu na pesa za kigeni mtaani??

    kwa kifupi acha wivu, fanya nawe
  5. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    mafundi hardware wababaishaji. Software matapel
  6. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Zijue Teknolojia 10 zilizovumbuliwa na wanawake

    mwanamke mswahili ndio binadam wa wakwanza kugundua libwata alikugundua mwaka shetani ana zaliwa. :-D%-)
  7. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali wa kitanzania!

    wajasiriamal wa tanzania aliewaloga ni aliewaita kwenye mafunzo ya kutengeneza sabuni,keki,asali,na mazagazaga mengne. Kwakua aliwafundisha ndie alitaka soko lake likue. Watanzania weng si wabunifu, hata ukimpata mfanyakaz mbunifu siku akiondoka kaz nayo inakua shagalabagala
  8. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kisharua na kiarachuga.

    karibu namanga ndo utajua utoto unakaa kwa namba au kimo, au akili.
  9. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kisharua na kiarachuga.

    ngiba ya nimtoranga naiha mistima yaka detimilingau na lelongukwa
  10. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kisharua na kiarachuga.

    ila sijawai ona mtoto anaeongea.
  11. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tuliwaambia wajibu wa kutafuta haki ni wa kila mtu,mkatupuuza mkatuona hatujui thamani ya maisha tutalia na kuimba wimbo unaofanana

    teteeni haki si watoto wa maskin wakututoa sero hatuna acha tubeti
  12. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kisharua na kiarachuga.

    mkoa wa arusha umekua chimbuko la lugha mbili maarufu moja ikiwa ni Arachuga, na nyingine ikiwa ni kisharua ambayo maneno ya kiswahili zanasomeka toka kulia kurudi kushoto mfano *jamiiforum hutamkwa mrufomija, pesa ; sape. Mara nying lugha hi wanaitumia watu waarusha na kidogo ningumu kuelewa...
  13. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

    huku jf kuna ng'ombe zipo tu basi kwavile zinataka zionekane zinachat hazichangi kitu. Alafu kuna punda hazina ushaur kaz kusoma coment au waandike ngoja wajuz waje.
  14. shirima-wa-pili

    JamiiForums Tanzania Club ya chelsea yafungiwa miaka miwili na fifa

    Club ya Chelsea imekumbana na adhabu ya kutokufanya uamisho wa wachezaji kwa miaka miwili na shirikisho la soka duniani FIFA,Adhabu iyo inakuja baada ya chelsea kufanya usajili wa mchezaji Bertrand Traore raia Bukina faso akiwa na umri wa miaka chini ya miaka 18,ambae kwa sasa anacheze club ya...
Back
Top Bottom