Lugha ya kisharua na kiarachuga.

Jan 1, 2013
23
21
mkoa wa arusha umekua chimbuko la lugha mbili maarufu moja ikiwa ni Arachuga, na nyingine ikiwa ni kisharua ambayo maneno ya kiswahili zanasomeka toka kulia kurudi kushoto mfano *jamiiforum hutamkwa mrufomija, pesa ; sape. Mara nying lugha hi wanaitumia watu waarusha na kidogo ningumu kuelewa nini wanaonge kwakua maneno yote haya fanani na kiswahili. Aina hii ya kisharua hutumika na madalali wanapota mwibia mtanzania au anaejua kiswahili kwan huanza na salam mfano* mboma pivii, ribah koya nabwa unaposikia maneno hayo unaeza usijue wanachoongea.

Inadhaniwa lugha ya kisharua jitiada za kuidhibit kuenea ndizo zilizoifanya kuwa lugha ya siri na nikutokana na makabila meng tanzania kutohoa maneno katika lugha ya kiswahili.

Matumizi ya lugha ya KISHARUA yamekua yakitumika sana na wakaz wachache wa kaskazini wawapo maeneo wasiyotaka wengne wajue mazungumzo yao. Lugha hii imekua ikitumika zaid maeneo ya namanga,arusha mjini. Na ni kwa kikundi fulan cha watu pekee.

Lugha hi imetumika pia kupangia uhalifu,kutoa tahadhari pindi mtu adhaniwaye ni mhalifu.

Lengo la kupost Lugha hii kufahamika ni jamii ya watanzania kufaham japo baadh ya maneno yake na kujiepusha athari,njama zitazopangwa kwa lugha hii. Pia vyombo vya usalama vimekua pata tabu kwa lugha hi pindi anapokuja asiefaham lugha iyo. Haya ni mifano ya maneno yake.

Karibu = burik
shikamo = mokash
Mambo vipi = mboma pivi
tumwibie huyu = ebimwitu yuh
fala kajileta = talejika lafa.
Si mtu mzuri huyu = yuh mrizu tum sii
usiku mwema =ukusi mamwee
matusi sipendi = sindipe situmaa

kwa muhafanao wazialimata mi simuhafa nasa
 
Hiyo sio lugha bali ni utoto unafanywa.
Hili jibu nimelielewa sana, nimesomea chuo Kilimanjaro! Vijana wa kule wanaitana ma chalii, kuna classmates ndio huwa wanaongeaga hivyo vinyume hasa akipita demu mkali au mmoja awe kashamgonga na kumtema wanaambiana kwa style hio! Binafsi sijawahi ielewa hio lugha yao ila wanaicharaza mbaya na wanaelewana kabisa mi huwa sielewi kabisa!
 
Hii lugha ya kinyume tuliitumia kuitana kwenda kucheza ili mama asijue unaenda wapi.
 
Back
Top Bottom