Ripoti ya Ernst and Young: Imeitaja Tanzania katika 10 Bora ya Nchi za Afrika zenye Uchumi Mkubwa

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
2,000
1542540551702.png

1542540588305.png

Ripoti ya Ernst and Young: Imeitaja Tanzania katika 10 Bora ya Nchi za Afrika zenye Uchumi Mkubwa, ikiwa na uchumi pekee usio na alama nyekundu (kuashiria kudorora) miongoni mwa Nchi hizo 10 za Afrika.Aidha, uwekezaji kutoka nje umetajwa kuongezeka kwa 59% kati ya 2016-2017.

https://www.ey.com/Publication/vwLU...-2018/$FILE/ey-Africa-Attractiveness-2018.pdf
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,130
2,000
Uchumi gani tulionao?!

Watu hata kulipa wastaafu wanashindwa!

Tunashindwa hata kutekeleza mpango wa maendeleo, bajeti za wizara zinatekelezwa chini ya asilimia 50, n.k

Juzi tu hapa kamati ya Bunge ya Bajeti imetaka kuwe na ukomo wa serikali kukopa ili kuondoa uwezekano wa hela zote zinazokusanywa kutumika kuhudumia deni la Taifa.

Hofu hii ya kamati ya Bunge maana yake si uwezekano hata wa serikali kuja kushindwa kulipa mishahara ya watumishi?

Kama kuna hatari ya aina hii, huo uchumi tunaoambiwa unakua una maana gani?

Tatizo la kanuni za ku-determine ukuaji wa uchumi huweze kuangali ukuaji wa sekta chache tu(kama mawasiliona na nyingine mbili tatu zenye unafuu) na ambazo hazigusi maisha ya watu wengi katika ku-determine ukuaji wa uchumi wa nchi.
 
Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,262
2,000
View attachment 938499

View attachment 938502

Ripoti ya Ernst and Young: Imeitaja Tanzania katika 10 Bora ya Nchi za Afrika zenye Uchumi Mkubwa, ikiwa na uchumi pekee usio na alama nyekundu (kuashiria kudorora) miongoni mwa Nchi hizo 10 za Afrika.Aidha, uwekezaji kutoka nje umetajwa kuongezeka kwa 59% kati ya 2016-2017.

https://www.ey.com/Publication/vwLU...-2018/$FILE/ey-Africa-Attractiveness-2018.pdf
Mkuu embu jaribu kuangalia na idadi ya watanzani ndio utajua kuwa tungetakiwa tuwe kati ya nchi nne na si kujivunia namba kumi mkuu
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,607
2,000
Uchumi gani tulionao?!

Watu hata kulipa wastaafu wanashindwa!

Tunashindwa hata kutekeleza mpango wa maendeleo, bajeti za wizara zinatekelezwa chini ya asilimia 50, n.k

Juzi tu hapa kamati ya Bunge ya Bajeti imetaka kuwe na ukomo wa serikali kukopa ili kuondoa uwezekano wa hela zote zinazokusanywa kutumika kuhudumia deni la Taifa.

Hofu hii ya kamati ya Bunge maana yake si uwezekano hata wa serikali kuja kushindwa kulipa mishahara ya watumishi?

Kama kuna hatari ya aina hii, huo uchumi tunaoambiwa unakua una maana gani?

Tatizo la kanuni za ku-determine ukuaji wa uchumi huweze kuangali ukuaji wa sekta chache tu(kama mawasiliona na nyingine mbili tatu zenye unafuu) na ambazo hazigusi maisha ya watu wengi katika ku-determine ukuaji wa uchumi wa nchi.

Kwa hiyo unampinga nani sasa mleta Mada au Muzungu Ernst & Young?
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
11,695

a kinda of emotional comment.
 
Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,548
2,000
Za kuambiwa changanya na zako...............hebu tuambie wew unauonaje huo uoanishaji yao.......!!!!! Una ukweli?
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
10,886
2,000
View attachment 938499

View attachment 938502

Ripoti ya Ernst and Young: Imeitaja Tanzania katika 10 Bora ya Nchi za Afrika zenye Uchumi Mkubwa, ikiwa na uchumi pekee usio na alama nyekundu (kuashiria kudorora) miongoni mwa Nchi hizo 10 za Afrika.Aidha, uwekezaji kutoka nje umetajwa kuongezeka kwa 59% kati ya 2016-2017.

https://www.ey.com/Publication/vwLU...-2018/$FILE/ey-Africa-Attractiveness-2018.pdf
Unajua kusoma graph kweli,au umelishwa na wewe ukaja kusema kama kasuku?
Umeiona Cote de Ivore vizuri?
Umeweza kutafsiri kwamba boksi/mstatili inamaanisha matarajio ya muda mrefu,na duara inamaanisha hali halisi ya sasa?Sidhani.
Kwa nini umekeiacha kipengele cha hali ya government/serikali?Hembu malizia tathmini nzima uiteende haki ripoti,usipende kuona tu yale yanayokufurahisha, tazama picha kubwa zaidi.
 
lubamba

JF-Expert Member
Jan 13, 2015
945
1,000
Kwa hiyo unampinga nani sasa mleta Mada au Muzungu Ernst & Young?
Wewe nawe huwa hupitwi jambo? Ni lini shilingi yetu imeimarika?kila uchao inaporomoka halafu unasema uchumi umeimarika? I stand to be corrected dude.
 
nyamatala.

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
268
250
Uchumi gani tulionao?!

Watu hata kulipa wastaafu wanashindwa!

Tunashindwa hata kutekeleza mpango wa maendeleo, bajeti za wizara zinatekelezwa chini ya asilimia 50, n.k

Juzi tu hapa kamati ya Bunge ya Bajeti imetaka kuwe na ukomo wa serikali kukopa ili kuondoa uwezekano wa hela zote zinazokusanywa kutumika kuhudumia deni la Taifa.

Hofu hii ya kamati ya Bunge maana yake si uwezekano hata wa serikali kuja kushindwa kulipa mishahara ya watumishi?

Kama kuna hatari ya aina hii, huo uchumi tunaoambiwa unakua una maana gani?

Tatizo la kanuni za ku-determine ukuaji wa uchumi huweze kuangali ukuaji wa sekta chache tu(kama mawasiliona na nyingine mbili tatu zenye unafuu) na ambazo hazigusi maisha ya watu wengi katika ku-determine ukuaji wa uchumi wa nchi.
Huwa mnachekesha sana nyie watoto,kwani wastaafu wapo wa ngapi ili hoja yako iwe na nguvu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom