Career? Which career? Dont forget that making money is also sort of career. Usidanganyike, buffet alinunua hisa yake ya kwanza(alianza kufanya biashara) akiwa na miaka 14. Na anasema anajutia sana coz alichelewa, anasema anatamani angeanza mapema zaidi coz angekuwa mbali zaidi
Dr. Kitila ni opportunist mbaya sana. Huku kujiunga na zitto ni kwa maslahi ya kifedha tu. ni huyu huyu mkumbo aliyetusaliti mambo mengi tulipokuwa udsm yeye akiwa rais wa daruso, kumbe alishaahidiwa ajira na akina prof. Luhanga. Alivyomaliza akaajiriwa na chuo tena bila kufikisha GPA ya 3.8...
Sasa naanza kuamini kwamba jamaa ni mdini, yani miaka yote IGP ni muislam. Safari hii kateua mkristo, eti katengeneza na cheo cha naibu IGP ambaye ni muislamu
Tatizo hili lijumuiya halina vigezo maalumu vya kujiunga, kila mtu anajiunga tuu. nilisikia wakati fulani hata congo nao wanataka. Sio kwa sababu uko afrika mashariki kijiografia una sifa za kujiunga na EAC. kama ni hivo basi nchi zote za ulaya zingekuwa kwenye EU, lakini kuna vigezo...
Killa mtu anajua how ageist you are! Mara kadhaa humu unamuita dr. Slaa "babu" uki imply kwamba mapungufu yake (kama unavyofikiria wewe) yanatokana na "uzee" wake na si kinginecho. Ukumbuke kwamba Ubaguzi wa aina yoyote ile ni moja ya disqualification kubwa za uongozi wa kisiasa, hii ni kwa...
Hivi ni coincidence au??? alipouawa father Mushi/au kujeruhiwa father Mkenda(naomba kusaidiwa), JK alikuwa ziarani Oman, haya ya Arusha yuko Kuwait. ???????
Nina uvimbe kwenye dhakari (mboo) upande wa chini karibu na shina la mboo. hauumi, ni kama kigololi kinacheza cheza ukikishika. kilianza kidogo sana lakini naona kila siku zikisogea kinazidi kukukua. Naomba msaaada wenu na ushari
Huwa najiuliza hivi ni kwa nini wapalestina(waarabu) walikataa azimio la umoja wa mataifa la 1948 lililogawa 'palestina' kuwa mataifa mawili (israel ya wayahudi na palestina ya waarabu)? Nikiangalia ramani ya partitioning ile naona wapalestina walifanya makosa makubwa sana kukataa azimio lile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.