For your information! The richest investor in the world Warren Buffet alianza kujenga nyumba yake before hajaanza biashara alikuwa ameajiliwa wakati huo.
Nawashauri vijana in their 20's to build their career rather than entering into debts.
I know capitalism, kama navojua kuwa katika capitalism si kila ambaye hakujenga ni succesful...Teh Teh Teh Teh.. Jidanganye na unyerereist
Capitalism is way different
For your information! The richest investor in the world Warren Buffet alianza kujenga nyumba yake before hajaanza biashara alikuwa ameajiliwa wakati huo.
Nawashauri vijana in their 20's to build their career rather than entering into debts.
Business ni career pia, all anasema usikomae na kutaka kutoka kibiashara hata kwa mikopo ukiogopa kujenga eti hakuna faida as ukijenga utaishi mwenyewe in your house so hutagain hela, japo in reality hutalose pia.Career? Which career? Dont forget that making money is also sort of career
Huo ni ukweli mtupu, mfano wewe unatumia milioni 60 kujenga nyumba ndani ya miaka 4, ukimaliza hiyo nyumba haizalishi chichote, unaishi mwenyewe, vipi kama hiyo 60 kama ungewekeza mfano kwenye ufugaji wa kuku, kama uko serious hao kuku wangekupa hata milioni 4 kwa mwezi na ukajenga kirahisi
Wadau, hasa vijana wenzangu,
Ushauri kwa vijana wenzangu. Ukiona wewe kwanza ndiyo umepata kazi, ukaanza kwa kununua gari la kutembelea, baada ya hapo ukanunua kiwanja na ukaanza kujenga ujue wewe utaishia kuwa middle class na kuteseka ki uchumi katika maisha yako yote. Ninaposema kuteseka ki uchumi namaanisha kila ikihitajika laki moja wewe kuitoa mpaka ukope au ukitoa unaishiwa. Vijana wengi wanapenda kuishi maisha ya luxury wakati hawana sifa ya kuwa na luxury, unakuta ndani kwake kajaza vifaa expensive wakati hana rasilimali ya kumpa kipato, wengi wanafanya hivyo ili waonekane wako na maisha safi kwa jamii, kumbe wanajichimbia kaburi
Asilimia kubwa ya middle class walieanza kwa ku invest kwenye mambo yasiyozalisha, mfano nyumba ya kuishi mwenyewe au gari, ukianza, ukianza kwa kujenga nyumba ya kuishi wewe ndio mbaya kabisa. Watu tunaowaita matajiri, walianza kwa ku invest kwenye kitu kinachozalisha pesa then gari la kutembelea, nyumba vikaja baadae. Huo ni ushauri wangu kwa vijana wenzangu
BAADA YA KUONA SIELEWEKI, NIMEONA NIWAPE MFANO HUU.
Hapa Tanzania, Wahindi wamekuwa waoga kujenga Tanzania kwa hofu kuwa labda hapa si kwao. Wahindi wanaishi National Housing kwa kupanga, ni mabillionaire, wameshika uchumi wa nchi hii, hawatishwi na kodi za nyumba, mfano kwa Arusha wanalipa kodi hadi 1.5m kwa mwezi kwa nyumba ambazo si national housing huko Arusha.
Sasa vipi wewe Mtanzania ungeanza na biashara then Nyumba?
Hiyo nyumba ya 60mil sio collateral ya kukupa 100m na kufanya biashara kubwa zaidi ya 60m?
hahahaaa,I know capitalism, kama navojua kuwa katika capitalism si kila ambaye hakujenga ni succesful...
Rich people buy income generating assets,middle class buy Liabilities thinking they are Assets(eg.cars,exp television set,bling bling etc),poor people live in debts.Je uko wapi kijana mwenzangu?
Unatakiwa ukae miaka mingapi kazini ndio ununue gari na ujenge nyumba mkuu?
Mkuu hebu kwanza niweke sawa hiyo Vitz mpya una maanisha brand new au ndiyo yale yaliyotumika km kadhaa na wenzetu huko mbele?umeona eeh!! kuna watu kwanza mshahara wao mwezi mmoja tu ni gharama ya vitz mpya. kwanini asijivutie zake usafiri huku anajipanga zaidi na life.
Mkuu hebu kwanza niweke sawa hiyo Vitz mpya una maanisha brand new au ndiyo yale yaliyotumika km kadhaa na wenzetu huko mbele?
Nijuavyo mimi kutokana na vipato vya Watanzania walio wengi; ni wachache sana wanaoweza kununua gari mpya zaidi tunakimbilia kwenye used/reconditioned/second hand.
Ushauri ni mzuri ila siyo kanuni lazima iwe hivyo anavyosema na unaweza kufata hivyo na bado ikala kwako mazima na unaweza ukaenda tofauti na ukawa kila siku meno 32 nje na ukawa unamiliki vitu mpaka wafanyakazi,wapambe, na hadi viongozi kukushobokea.
sidhani kama kuna ukweli, maisha ni kujipanga na kupanga ni kuchagua. nyumba na gari nayo ni mahitaji ya msingi sana tu ya kuanza nayo kama hukuwa navyo na haijalishi ununue vya kwanza au vya mwisho, jitihada binafsi ndio muhimu zaidi