Bro ushapoteza mda mwingi kitaa.... Kua makini usipoteze mda wako tena... Nenda chuo directly....kwa mda uliokaa kitaa I hope umejifunza mengi sana.... Maisha sikuhzi makapuku hatuangalii unapendelea nn bali we focus on what the market wants... Nikimaanisha hitaji letu kubwa n ajira na sio fani...
Wakuu nasikia hili ni mojawapo ya zao linaondoa mtu kwenye umasikin kabisa iwapo utafuata hatua zote muhimu kwenye ulimaji wake..
Naomba mwenye ujuzi atupe maujanja kidogo nataka kulima hili zao mwaka huu..
Pia ambaye anayelima au mwenye shamba darasa popote ndani ya Tanzania nipo tayari...

Donald Trump sio chizi we jiulize mtu tajiri kama yeye unapata wapi kigezo.cha kumtukana..?
Trump we always hate him due to tendency of being unhypocracy..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.