ashecknazi Member Joined Aug 26, 2017 Posts 16 Reaction score 11 Dec 26, 2017 #1 Kwa anaefahamu kazi ya miti hiyo tajwa hapo juu katika maswala ya tiba za asili naomba anijuze tafadhali .
Kwa anaefahamu kazi ya miti hiyo tajwa hapo juu katika maswala ya tiba za asili naomba anijuze tafadhali .
dungaembe Member Joined Dec 12, 2017 Posts 32 Reaction score 60 Dec 26, 2017 #2 Bila shaka inatuhusu wanaume wa dar hii
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,576 Dec 26, 2017 #3 mruturutu, au mrututu
flagship JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,641 Reaction score 1,189 Dec 26, 2017 #4 Mlundulundu au mlungulungu?
ashecknazi Member Joined Aug 26, 2017 Posts 16 Reaction score 11 Dec 26, 2017 Thread starter #5 Mlungulungu na mlutulutu nina tatizo la kuchanganya r na l
ashecknazi Member Joined Aug 26, 2017 Posts 16 Reaction score 11 Dec 26, 2017 Thread starter #6 Mwenye ufahamu atujuze tafadhali
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Dec 26, 2017 #7 Ambatanisha kapicha plz
shex Member Joined Aug 2, 2017 Posts 52 Reaction score 34 Dec 26, 2017 #8 Weka picha maana majina ndo shida