Pata millioni mia moja bure kwa kuleta mteja wa kiwanja

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,551
45,841
kuna kiwanja kinauzwa kipo opposite na bahari beach hotel maeneo ya bahari beach dsm
bei yake ni 1.6 billion
ukileta mteja unapewa m mia moja yako
tafuteni mteja mkuu
kiwanja kipo opposite na bahari beach hotel
sq mt 3,468 kipo beach huko
 
My sis Miss Natafuta hujaweka wazi kama kipo na title ama vipi. Tuweka pia kwa pesa ya marekani ni sawa na dolla ngapi?

kuna kiwanja kinauzwa kipo opposite na bahari beach hotel maeneo ya bahari beach dsm
bei yake ni 1.6 billion
ukileta mteja unapewa m mia moja yako
tafuteni mteja mkuu
kiwanja kipo opposite na bahari beach hotel
sq mt 3,468 kipo beach huko
subiri ma-trillion ya dr shika yakitua bongo atanunua..hakika itapendeza zaidi
 
weka maelezo vizuri... picha pia ingependeza zaidi.... kiwanja kimepimwa ? kina hati ?
vyuma vimekaza......
miss umekuwa dalali now ? lets say nimemleta mteja nikala m100, wewe unakula % ngapi kwa huyo mwenye kiwanja, watoto wa mjini wanaita mtu kati lazima upate kamisheni yako... kidding qn thou
 
kuna kiwanja kinauzwa kipo opposite na bahari beach hotel maeneo ya bahari beach dsm
bei yake ni 1.6 billion
ukileta mteja unapewa m mia moja yako
tafuteni mteja mkuu
kiwanja kipo opposite na bahari beach hotel
sq mt 3,468 kipo beach huko
Dada huyooo
 
Hati ipo
 
weka maelezo vizuri... picha pia ingependeza zaidi.... kiwanja kimepimwa ? kina hati ?
vyuma vimekaza......
miss umekuwa dalali now ? lets say nimemleta mteja nikala m100, wewe unakula % ngapi kwa huyo mwenye kiwanja, watoto wa mjini wanaita mtu kati lazima upate kamisheni yako... kidding qn thou
Kimepimwa mkuu hati ipo
 
Back
Top Bottom