Kwa matokeo haya nitaweza kusoma PGM kama private candidate?

Salio haliruhusu mkuu,mwak 2015 nlienda kusoma pre entry pale DIT lkn ishu ya ada ikanitoa nje ya kamba
Hapo ni kuomba na bumu upate, ama uangaike upate scholarship za undergraduates,
Kila la heri jua tu shughuli haitakua ndogo advance.
 
kama ada ya technical college imekusumbua utaweza private? nakushauri pambana uende technical school, advance itakupotezea muda na kukupa frustration,hayo matokeo ni mazuri sana kwa technical college na utatimiza ndoto zako kiurahisi kuliko kwenda advance,
 
Habari za muda huu waungwana!..

Nimemalza kidat cha 4 mwaka 2010 na kupata ufaulu huu

div 3 pt22
Phy=>C
Bios=>C
Chem=>C
Math=>D
Geog=>D.. nk. kiufupi hakuna somo nlilopata F

Nilichaguliwa Tambaza ktk tahasusi ya PCB lakini nilipofika kidato cha 6 nilipata matatizo ya macho na kichwa na kushindwa kufanya mtihani, niliacha shule bila kutoa taarifa shuleni na nlikaa huku nkifanya shughul zang bnafs Tangu mwak 2013 na sasa nataka kufanya mtihan mwak 2019 km private candidate, sasa hivi nina miaka 28.

Nataman kusoma PGM coz tangu O level nilikuwa na uwezo katika math na geog ila sikuweka sana mkazo huko kwakuwa nilitaka kusoma PCB ila kwa sasa nataka kuepuka manotes mengi ya chem na bioz na practical zake, ndio maana nime-aim kusoma PGM, kama itawezekana kusoma PGM kwa matokeo hayo ya O level, ni hatua gani nipitie ili niwe mtahiniwa halali wa kujitegemea hapo mwaka 2019??
Mkuu njoo pm nitakusaidia na hutojuta katika maisha yako!! Njoo pm fasta mkuu
 
kama umri umeenda sikushauri uende advance
bora utafute chuo ukaanze certificate au diploma usome kozi unayoipendelea
 
kama ada ya technical college imekusumbua utaweza private? nakushauri pambana uende technical school, advance itakupotezea muda na kukupa frustration,hayo matokeo ni mazuri sana kwa technical college na utatimiza ndoto zako kiurahisi kuliko kwenda advance,
No,hapa ntakachofanya ni kusoma tuition tu ambazo naziamin na kununua vitab,tayr nnyo nelkon hapa, ntatafuta chand na vitab vngne km review nk alaf ntalipia kituo cha kufanyia mtihan,na hatimae ntafanya mtihan,lkn simaanishi kuwa ntasoma shule A level huku nmeva uniform, na kuhus chuo nahis nahis naweza pata mkopo. Wa kozi ntakayochagua either, civil,electrical, mecha su automobile.
 
Hili ni tatizo la wengi na sio lako tu... Ila huo ni ushauri nlikua nakupa... Kwa pale MUST nadhan ada zao kidogo ziko nafuu!!

Kaa chini tulia utapata jibu kiongozi!! Pole sana na nnakutakia kila la heri!!
Shukran kk, shughur zang zipo dar na nmeoa so kusoma nje ya dar inahtaj nijipange me nmeona kwa kupitia A level ni nafuu kipesa japo ugumu upo ktk kusoma na muda
 
Nimekupata mkuu, japo hata hapo dsm DIT ipo!!

Labda nikuulize kwann unataka kusoma pgm na sio egm au pcm??
 
Yap hapa dar ipo dit lkn tatzo hela mkuu,.. Nmekataa PCM kwakuwa Chem ina notes nying,haswa organic na inorganic, pili nmetaka kupunguza mzigo wa mitihani chem ina paper1 na 2 na prac phys ina paper 1na 2 na prac math ina paper 1na 2..nkisoma PGM nakutana na prac ktk physics tu,mana gharama ya kutafuta kituo cha kujifunza prac itapungua

Kuhus EGM nahis km haina future nzur,na ni vzur ukiisoma ukiwa shuleni, mana hiyo E nahis tuition zake ni chache na haina wanafunz weng wa kudiscuss nao
 
Nimekuelewa mkuu, labda tena nikuulize, je unataka kusoma pgm ili upate nini, I mean at the end unataka ku achieve nini??

(sorry kama nimekukwaza ila kuna kitu nataka tushauriane hapa)!!
 
Lengo ni kusoma kozi za engineering km electrical,mecha na civil.
. Pia nmekumbka kuhis DIT mm inabd nifanye pre entry kwakuwa nna D ya math
 
Bro ushapoteza mda mwingi kitaa.... Kua makini usipoteze mda wako tena... Nenda chuo directly....kwa mda uliokaa kitaa I hope umejifunza mengi sana.... Maisha sikuhzi makapuku hatuangalii unapendelea nn bali we focus on what the market wants... Nikimaanisha hitaji letu kubwa n ajira na sio fani tulizoota tangi zamani

Cha msingi nenda Veta,D.I.T au vyuo vvya afya kasome achana na huo mpango wa kurisiti utajutia pesa na muda wakoo....

All the best...
 
Lengo ni kusoma kozi za engineering km electrical,mecha na civil.
. Pia nmekumbka kuhis DIT mm inabd nifanye pre entry kwakuwa nna D ya math
Kwa mtazamo wangu chuo ndio the best option kwako kwa muda huu!!
Ila...
Kama lengo ni hili hapo una option mbili ila kwa sababu umesema DIT ni ghali basi komaa na pgm au egm!! Lazima ujue hamna kombi rahisi wala ngumu... Ni wewe mwenyewe utavyojipanga!! Na pia ujue risk iliyoko kwa private candidates!!

Pia unasema tatizo ni ela ila jua ukimaliza form6 degree ukabaniwa mkopo... Hapo napo itakuaje?? Maana sasa hivi mikopo ya chuo haina guarantee kama enzi zetu!!

Weka nia utafanikiwa mkuu...

Kila la heri!!
 
Back
Top Bottom