Jamani, Joti huwa anapatia sana kuvaa uhusika. Anaweza kuigiza kama mzee sana, kama kijana, kama kilema, kama mtoto wa shule na kama mtu mwenye pengo, na kama mwanamke pia. Kwa hiyo ni kipaji alichomjalia Mungu, na kwa njia hiyo ya maaigizo halali anayofanya inamudu kuendesha maisha yake...