Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?
Kuondoa mzizi wa fitina ni bora ungetutajia kabisa hayo makanisa tuyajue na watu watadhibitisha kama ni kweli au laa.
Jf ;where we dare to talk openly.