Elections 2010 Chadema temeke chaliiii!!!

CCM:rip: mtaji wao ni wazee, wajinga wasioweza kufanya maamuzi na mapoyoyo washobokea JEZI NA cape,mwana utakuwa mmoja wao,ur so lame. grow up,changes is u fool.:yield:

Mamangu alinilea nikaleleka na alinionya matusi si kitu kizuri!!! Ni athari za malezi mabovu ya familia yako ndio maana huoni aibu kutoa matusi!!!! Hiyo ndio sababu inayonifanya niichukie CHADEMA maradufu kwavile wafuasi wake wengi wanaonesha taswira ya uhuni!!!! Hivi huwezi kuongea bila kutukana?! Sasa kwa taarifa yako, mimi mtoto wa uswahilini; nimezaliwa na kukulia kwenye maeneo yenye viwanda vya matusi! Kama wewe unajua kutukana tuombe ruhusa kwa moderator ili aruhusu mimi na wewe kutukanana humu ndani!!!!
 
Ubaya ni kwamba zile sehemu zenye masikini wengi nchi hii (Temeke inclusive) ndio vipenzi vya CCM.....!!!!!??
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!
 
Hivi kuna kudanganyika zaidi ya kuichagua CCM? Kweli ujinga haushi.
 
temeke na kigamboni watu wengi hawajasoma ndo mana wananunuliwa kwa buku tano tano
 
Mamangu alinilea nikaleleka na alinionya matusi si kitu kizuri!!! Ni athari za malezi mabovu ya familia yako ndio maana huoni aibu kutoa matusi!!!! Hiyo ndio sababu inayonifanya niichukie CHADEMA maradufu kwavile wafuasi wake wengi wanaonesha taswira ya uhuni!!!! Hivi huwezi kuongea bila kutukana?! Sasa kwa taarifa yako, mimi mtoto wa uswahilini; nimezaliwa na kukulia kwenye maeneo yenye viwanda vya matusi! Kama wewe unajua kutukana tuombe ruhusa kwa moderator ili aruhusu mimi na wewe kutukanana humu ndani!!!!

Grow balls and speak like a man.
 
Temeke wamelala, hebu wajaribu kuangalia Ilala na Kinondoni barabara hadi uchochoroni wao hawana Kigamboni inauzwa Kurasini pia imeshauzwa kwa kisingizio cha Bandari
 
Hatutegemei kushinda sehemu zile ambazo hazina mwamko wa maendeleo kama Temeke:

Hii ni dhahiri sehemu zote za Tanzania ambazo maendeleo yake yako nyuma na kiwango cha elimu ni duni! Naomba mfanye utafiti na hii mtagundua hivyo. Hivyo msishangae sana CHADEMA KUSHINDWA TEMEKE.

Mimi nilipiga kura DARUSO-CHUO KIKUU

Dr. Slaa 454
Jakaya 71

Myinka 473
Hawa Ngumbi 45

Hiki ni kipimo tosha cha kwamba CCM wanakubalika kwa watu wenye upeo mdogo wa kuelewa na wenye maslahi binafsi.

When the majority of a population is desperately poor, it is easy for politicians to buy loyalty. But the loyalty of an emerging middle class is not so easily bought. When they are no longer worried about the survival of their families, they start to demand more from their government.
 
Lakini kwanini mnawatukana watu wa maeneo ambayo wamechagua CCM!!?
huo kweli ni ustaarabu!? wao pia wana haki ya kuchagua wanaemtaka,,KUWENI WASTAARABU,,, walichofanya watu wa Temeke ni kuchagua wanachokipenda

By they way,,matokea bado yanaendelea kutoka,,angalieni msije kukuta mnatukana hata wazee wenu
 
Ubaya ni kwamba zile sehemu zenye masikini wengi nchi hii (Temeke inclusive) ndio vipenzi vya CCM.....!!!!!??

What about Kigoma mkuu? Na Lindi walioichagua CUF nao ni matajiri wasomi?Hivi ni kwanini mnaona wenye akili ni wale tu walio CHADEMA?! Lazima mkubali penye vyama vingi lazima wafuasi wagawanyike kwenye vyama !!!
 
Ni kweli kabisa... tulitegemea hivyo, kwani ccm inashina majimbo yote yenye watu wasio na elimu au maskini kwani hawajui rights zao

Kigamboni ndio wanatia huruma zaidi kwani hata ardhi yao imeuzwa
You couldn't say more! anagalia trend ya ushindi wa CCM............aibu, yaani wanakubalika na wajinga. (sio wote ktk hayo majimbo ni wajinga lakii majority ni zero kabisa!)
 
What about Kigoma mkuu? Na Lindi walioichagua CUF nao ni matajiri wasomi?Hivi ni kwanini mnaona wenye akili ni wale tu walio CHADEMA?! Lazima mkubali penye vyama vingi lazima wafuasi wagawanyike kwenye vyama !!!
tunaongelea wanaochagua CCM against mabadiliko.....wabunge wengi wa upinzani.
 
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

Ndiyo maana Temeke na Kigamboni ni maskini wa kutupwa. After all hivi huko Kigamboni na Temeke population kubwa si ile ya vihiyo? Wakigawiwa Khanga na t-shirt wanafikiri ndiyo utajiri wakati quality ya hizo nguo nayo ni ya kuchakachua, ukifua mara moja hurudi tena kuvaa inabidi iwe tabara la deki/kufua mavumbi.
 
Kwa wanaoishi tmk huu ni msiba mkubwa, hali kule ni mbaya sana kiuchumi na miundo mbinu, hali hii si ya kushabikia.
 
Hivi vijamaa vilikuwa vimejificha na sas vimerudi tena, where is \mak
 
You couldn't say more! anagalia trend ya ushindi wa CCM............aibu, yaani wanakubalika na wajinga. (sio wote ktk hayo majimbo ni wajinga lakii majority ni zero kabisa!)

Mjinga ni yule na wale wote wanaoamini kwamba mwerevu ni yule anayei-suppot CHADEMA!Mjinga ni yule mwenye mawazo finyu ya kutotaka kuweo na watu wenye mawazo tofauti na yeye!!! Mjinga ni yule ambae badala ya kujibu kwa hoja kila siku anakimbilia kujibu kwa matusi. Hivi ni nani leo hii anaweza kwenda KIGOMA au KARATU (sehemu ambazo kwa zaidi ya mungo sasa CHADEMA imekuwa ikiongoza) kwenda kutafuta maisha?! Hivi ni nani anaweza kwenda TARIME kutafuta maisha? Ikiwa mlilishindwa kuwaonganisha watu wachache tu na kujiletea maendeleo, huo weredi mnaojitia kuwa nao unatoka wapi? Nakuonya, kila mtu anaweza matusi kwahiyo chunga sana ur fingers movements!
 
Ndiyo maana Temeke na Kigamboni ni maskini wa kutupwa. After all hivi huko Kigamboni na Temeke population kubwa si ile ya vihiyo? Wakigawiwa Khanga na t-shirt wanafikiri ndiyo utajiri wakati quality ya hizo nguo nayo ni ya kuchakachua, ukifua mara moja hurudi tena kuvaa inabidi iwe tabara la deki/kufua mavumbi.

MUNGU HAKUSAMEHEE, KWA MAANA HUJUI ULISEMALO!!! HIVI NI WILAYA GANI ILIYO NA MATAJIRI (WAZAWA WA ASILI + ORDINARY PEPLE)?! kama wewe unaamini ni msomi, tuweke mdahalo humu ndani kati yangu mimi|(mjinga nisiyesoma) na wewe mwerevu msomi!!! Tafuta mada unayotaka wewe halafu tutafute ni nani aliyekwenda shule na akataalamika!!!
 
Kila mtu hapa ana uhuru wa kusema anavyofikiria, usilazimishe kila mtu akiunge chama unachokipenda wewe. Hapa kila mtu ana uhuru wa kutoa taarifa alizo nazo. Nchi hii itabadilika iwapo kila mtu sehemu yake ya kazi, biashara, kile alichonacho kidogo anamgawia na mwenzake na kumhurumia, hapo ndipo patakuwa na mabadiliko ya kweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom