Recent content by sheka leonard

  1. S

    GE2010 Iweje hakuna network Igunga

    network Igunga ipo sana may be wanataka kufanya mambo yao
  2. S

    Mtizameni ufoo saro sasa

    hata aspopewa hiyo ni kazi yake. Ila kwa maoni yangu mm anastahili tuzo.
  3. S

    GE2010 Hujuma:star TV wagoma kurusha habari za Igunga

    tunataka habari yahaya m hatutaki manene
  4. S

    Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA ahamia CCM, Nape asema Zitto ameogopa kwenda Igunga

    kuhama kwake huyo bwana singida kunatusaidia nini ss wanaigunga. Nape huo ni utoto hujakomaa kisiasa. haja kutoa hoja nyepesi kwa mambo yanayohusu msikabari wa wananchi.
  5. S

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    baki huko huko usiende popote maana wewe si mwanamageuzi
  6. S

    Serikali nzima kitanzini!

    serikali legelege ndo hii!
  7. S

    Live: Stars, Simba vs Wapinzani

    tupeni hizo up date.
  8. S

    Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

    gazeti hilo kumbe lina wa2 waliofukuzwa ndiyo maana na habari zake hazifai.
  9. S

    Bendera za CCM zazua kizaazaa kenye Daladala Arusha

    hata mimi siwezi kupanda kiford chenye bendera ya ccm. sitaki kabisa nibora niende kwa miguu mjini ila kusapoti mafisadi siwezi.
  10. S

    GE2010 Mdahalo kupitia TBC1 jimbo la Kigoma Kusini

    vijana ni wazuri kazi kwenu wanakigoma.
  11. S

    GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    mwenye uwezo wa kuwatumikia watz kwa upendo na haki.
  12. S

    GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    mwadilifu mwenye uchungu na lasilimali za inchi yake
  13. S

    GE2010 Slaa Anasa Waraka Mzito!

    kama wanasambaza waraka wanataka kumwaga damu isiyo na hatia Mungu ibaariki TZ. Mungu mbariki Dr SLAA
Back
Top Bottom