Elections 2010 Kampeni za CHADEMA Moshi Mjini katika picha

kwa mtindo huu kikwete si ajiondoe mwenyewe tuu....
asiposhinda Slaa kwa umati huu pataachimbika, ngoja tuone
 
kwa mtindo huu kikwete si ajiondoe mwenyewe tuu....
Asiposhinda slaa kwa umati huu pataachimbika, ngoja tuone

[size=+0]hata mwaka 2005 ilikuwa hihivi wakati mbowe anagombea urais na matokeo yake------------tunachukuwa,,,,tunaweka,,,,waaaaa,,,,,,halafu tarehe 1 november tunajuwa chadema wataanza kushangilia ushindi hewa kuanzia asubuhi maana nec itakuwa bado haijatangaza rasmi nani ameshinda na ndipo mutakapo shangaa hapo tarehe 2 au 3 au 4 au 5 ccm kutangazwa mshindi na chadema ndipo mutakapo jiju!![/size]

jamani musikasirike hiyo ndiyo demokrasia kuna kushinda na kushindwa lazima mukubali kushindwa kwani kama ni mahundurio ya watu ndio ushindi munataka kunambia mwaka 1995 wakati lyatonga mrema anagombea urais na ibrahim lipumba 2000 na 2005 na sasa dr.slaa nani alipata mahudhurio makubwa?
 
zilipendwa
 
Safi sana Dr Slaa, wafikie pia Lindi pengine utawafumbua macho kwani wamelala usingizi wa pono. Tv wanakwenda kuangalia baa, au kwa diwani, hivo hawana hata update nyingi. Wengine wanafikiri Marehemu baba wa Taifa ndo bado anaongoza nchi.
 
mb09pc.jpg

2zrq2xh.jpg

2nb8rpy.jpg

WATU HAWA WOTE WALIKUJA KWA MATAKWA YAO, WALA SI KUSOMBWA NA MAGARI NA KULIPWA 5000/. HAKUNA ORIJINO COMEDY WALA TWANGA PEPETA.

WALIOSEMA ETI SLAA ATAKOSA WATU KIMEWASHUKA SASA. WATU WAMECHOKA SASA "HAWADANGANYIKI".
 
Pia mimi nilikuwepo, hali si hali. Msisimko ulikuwa mkubwa ile mbaya
 
Hivi huyu Kadogoo kalogwa??? Kweli na kadogo ka kufikiri... Kwanza umekula leo wewe?? Wenzio wanashabikia thithiemu halafu wanalipwa sa we unajikomba tu na kuwafagilia wanakufanya ngazi ya kupadia maV8 yao while unaendelea kulala na njaa. Watu wa Moshi Big up sana... Nilisikia watu wakishangilia katika kila bar leo wakati TBC1 kwa shingo upande walipoonyesha nyomi iliyokuwepo leo Moshi ktk taarifa ya habari saa mbili...
 
hivi huyu kadogoo kalogwa??? Kweli na kadogo ka kufikiri... Kwanza umekula leo wewe?? Wenzio wanashabikia thithiemu halafu wanalipwa sa we unajikomba tu na kuwafagilia wanakufanya ngazi ya kupadia mav8 yao while unaendelea kulala na njaa. Watu wa moshi big up sana... Nilisikia watu wakishangilia katika kila bar leo wakati tbc1 kwa shingo upande walipoonyesha nyomi iliyokuwepo leo moshi ktk taarifa ya habari saa mbili...

[size=+0]hizo pombe walizokuwa wakinywa ktk mabaa ya mjini moshi ni malipo ya kushiriki huo mkutano! Ndesamburo alimwaga pesa kibao ktk kila baa na kuwaelekeza wenye mabaa wawanyweshe mashabiki wao baada ya huo mkutano! Baa za soweto, shunti town, majengo, pasua, mji mpya, kiboriloni, karanga, kawawa road, na za mjini ni miongoni mwa baa zilizopewa fedha za chadema!! [/size]
[size=+0][/size]
sijui hawa takukuru wanafanya nini!! Yaani huu ni ufisadi na rushwa ya waziwazi!!
 
Aisee mbona mgombea na wananchi wanashika vichwa kwenye hiyo picha ya kwanza hiyo ni ishara ya nini lol!
 
Aisee mbona mgombea na wananchi wanashika vichwa kwenye hiyo picha ya kwanza hiyo ni ishara ya nini lol!

Nadhani hapo anaashiria ya kuwa wananchi wamepigika sana kimaisha kutokana na sera mbovu za CCM, ndio maana wanajishika vichwa. Mimi napenda wapiga kura wa Kilimanjaro.... Hebu angalia hayo mabango hapo chini

Mabango.jpg
 
Kweli WADANGANYIKA kama hawataDANGANYIKA basi.........................................................................................................................,........
 
TBC1 wameonesha kwenye kipindi cha Usiku wa Habari. Kwa kweli hii ni murua sana, kwani Watanzania wanaiambia CCM live kwamba sasa ni zamu ya CHADEMA.

Umefika wakati wa kuirejesha Tanzania mikononi mwa Watanzania! Heko wana-Kilimanjaro!
 
[size=+0]hizo pombe walizokuwa wakinywa ktk mabaa ya mjini moshi ni malipo ya kushiriki huo mkutano! Ndesamburo alimwaga pesa kibao ktk kila baa na kuwaelekeza wenye mabaa wawanyweshe mashabiki wao baada ya huo mkutano! Baa za soweto, shunti town, majengo, pasua, mji mpya, kiboriloni, karanga, kawawa road, na za mjini ni miongoni mwa baa zilizopewa fedha za chadema!! [/size]
[size=+0][/size]
sijui hawa takukuru wanafanya nini!! Yaani huu ni ufisadi na rushwa ya waziwazi!!

Kwanza sijuhi kama ni kweli au au unachakachua mambo.
Pili ushahidi wake ukoje au mambo ya kusadikika ,unataka tu tuamini .
Tatu rushwa hii unayosema ya ajabu yaani baada ya watu kutoka kwenye mkutano ndio wanaenda kupewa ahaaaaaaaaaaa ur funny,itabidi tuite shukrani aka takrima aliyo azisha babu Mwinyi teh tehe tehe
 
Back
Top Bottom