Mtizameni ufoo saro sasa

Mmang'ati

Senior Member
Jan 8, 2011
184
49
Uchaguzi ulopita skuvi kawe waliwatuza watangazaji Masako na Fatma Nyangasa ilikuwa sahihi japo kiukweli kabisa Ufoo pia alistahili vile alipata misukosuko mingi ikiwa ni pamoja na kupopolewa mawe pale kibaha. Tafadhari wadau wa habari this time mtizameni binti huyu au kwakua anaripoti mikutano ya chadema.?Mtizamo tu.Nawasilisha.
 

jigoku

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,413
731
Amefanya kazi nzito tangu mwanzo wa kampeni hadi leo siku ya uchaguzi,anafanya kazi nzuri,anastahili kupongezwa na kupewa zawadi.najua Igunga ilivyo na changamto nyingi katika kutekeleza kazi yake.
 

Mmang'ati

Senior Member
Jan 8, 2011
184
49
Mbona sikuelewi?

Hunielewi pande ipi ndugu?Nyangasa na Masako walipewa zawadi kwa kukesha studio wakiripoti matukio ya uchaguzi lkn Ufoo aliekesha pale Loyola,akapigwa mabomu ya machozi pale kibaha nk alisahauliwa so nachukuwa nafasi kuwakumbusha watz tumpe motisha huyu dada japo anaripoti mikutano ya chadema.
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,777
4,625
ki ukweli dada wa watu anajituma sana,ila kibongo bongo ni sawa na kutwanga maji kwenye KINU
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,206
10,184
Hebu tupeni picha yake ili tukikutana naye mtaani tumpe pongezi,, hivi kafanya nini vile?
 

Kimbojo

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
387
54
Hiyo ndio ajira yake. Kaipenda, labda apewe allowance ya kufanya kazi katika mazingira ya hatari.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom