Recent content by shejele

  1. shejele

    JamiiForums Tanzania Niweke dawa gani kwenye nywele?

    Dada Maho gel, kwanza kabisa unatakiwa kujua hakuna nywele zisizokuwa. Hata ziwe kipilipili cha aina gani lazima zikuwe, tatizo ni jinsi gani unahakikisha zile zinazoota hazikatiki, na hii itategemea unazijali nywele zako kwa kiasi gani. Hapo baadae kama utaamua kutunza nywele zako za asili...
  2. shejele

    JamiiForums Tanzania Kwanini magonjwa mengi hatari yanatokea Afrika?

    The boss,unachosema inawezekana ikawa ni kweli hawa wazungu wametugeuza wanyama wa kutestia virus wavitengenezavyo maabara. Ila ninachojua mimi baadhi ya watafiti mara nyingi uwa wanakuwa na tafiti endelevu kwa hivyo wakisikia tu kuna mlipuko wa ugonjwa wanao tafiti wanachukua next flight...
  3. shejele

    JamiiForums Tanzania CBG anafanya kazi zipi?

    Kazi atakayofanya mtu aliyesoma CBG inategemea na muendelezo wake wa elimu ya juu, unaweza kuja kuwa lecturer, mkemia, marine biologist, ecologist, microbiologist, scientific researcher, kwa uchache wake. Kazi kwako kijana.
  4. shejele

    JamiiForums Tanzania Ungependa Kuwa Na Nywele Ndefu Zinazong'aa?

    Naona mdau haujapewa jibu la moja kwa moja la tatizo lako1! nakushauri uwe unapaka mafuta ya Olive (Extra virgin Olive oil) kila ukiwa unajiandaa kwenda kulala, mafuta haya ni mazuri sana, mimi binafsi yamenisaidia sana. Kama suala la kulala na soksi halitakusumbua fanya hivyo, inasaidia kupata...
  5. shejele

    JamiiForums Tanzania Nachechemea ya Fresh Jumbe

    Sikia mambo ya director....
  6. shejele

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaitwajwe kwa kiswahili na kidhungu?

    Nilikuwa namaanisha Miiba. Nadhani umeshanipata hapo.
  7. shejele

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaitwajwe kwa kiswahili na kidhungu?

    Hawa wanaitwa Kalunguyeye kwa kidhungu ni hedgehog, Nungunungu ni wakubwa zaidi na kidhungu chake ni pocurpine. Nungunungu na Kalunguyeye ni jamii mbili tofauti japo wana miiba inayofananafana kidogo.
  8. shejele

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga analia sana

    Kwa kuongeza tu, jaribu kumuweka mtoto kifuani baada ya kumaliza kumnyonyesha halafu umpapase papase (burp) mgongoni mpaka abehue, hii inasaidia kutoa hewa ya ziada iliyoingia wakati wa kunyonya. Njia hii inasaidia sana kuondoka hiyo gas, fanya hivyo na usiache kwenda kuwaona wataalam kwa...
  9. shejele

    JamiiForums Tanzania Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

    mmh! sijui huku kuingiza tamaduni za watu wengine kwenye zile zetu kutatufikisha wapi, yani kweli mumeo kabisa umpendae analeta mtu mwingine mfanye threesome na mke unakubali kabisa!!! umeniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Ya kujifunza tujifunze mengine tuwaachie wenyewe. Mimi kwa...
  10. shejele

    JamiiForums Tanzania Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

    Muanzisha huu uzi unavituko wewe.... Hivi kweli mume ampendae mkewe kwa dhati ata suggest mfanye threesome kweli? mana mi najiuliza nikiambiwa tufanye hicho kitu nitadua aje? nahisi nitazimia gafla. Mi mume wangu nampenda kufa lakini akileta tu hizo sijui za threesome sijui tigo ndio itakuwa...
  11. shejele

    JamiiForums Tanzania Mtoto ameamka AMEKUFA.

    Swali kidogo, hiyo chanel ya nchini Czech Republic wanaongea kwa lugha yao? Kama ndio basi kiongozi nimekuvulia kofia, hadi kicheki unakimanya.... Lugha zinasumbua hizi wajameni..ameamka AMEKUFA tena?
  12. shejele

    JamiiForums Tanzania Mjusi anayeruka Dunia imekwisha jamani

    Hapo kuna mawili, 1, huyo aliyekuwa anawafundisha hiyo course ya Herpetology hakuwatendea haki kwa kutowapa elementary information ya evolutionary lineage na diversification ya mijusi ambao wengine inasemekana lineage yake ni ancestors wa ndege 2, Particpants hamkutaka kuuliza uliza...
  13. shejele

    JamiiForums Tanzania Zizou vs Ronaldinho

    I second you Gang Chomba, Gaucho is the best. Check this out ‪Ronaldinho freestyle‬‏ - YouTube
  14. shejele

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie shetan wa leo aliearibu hewa

    Sijafurahishwa na hili suala la kusutana nje ya bunge, kwanini hawa wabunge hawakusisitiza hoja ya dharula ya mweshimiwa Wenje isikilizwe? Mi ningependa kujua hao samaki ni waaina gani ili tusambaze ujumbe kwa ndugu, jamaa na marafiki tukwepe kuwanunua...watakapo waozea sokoni ndio itakuwa...
  15. shejele

    JamiiForums Tanzania Why mademu wa uswazi wanapenda boyz wenye magari?

    Mshikachuma, Observation yako umefanya kwenye jinsia moja tu? Vipi upande wa pili wa shilingi, wakaka wa uswazi wao wanapenda galz wenye nini?
Back
Top Bottom