Hawa wanaitwajwe kwa kiswahili na kidhungu?

Hawa wanaitwajwe kwa kiswahili na kidhungu?

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,027
Reaction score
16,148
2f1b78a478b2cd4820cc3c47c6ef0b9d_720x560.jpg
 
tulizoea kuwaita karunguyeye lakini sidhani kama ndo jina sahihi!!
 
Matatizo ya kukaa mjini. Una uhakika kuwa africa hawapo? Hawa wadudu kwetu shinyanga wapo kibao tunawaita kalunguyeye na kwa kisukuma wanaitwa nungu.
 
Kalunguyeye hao. Shinyanga wapo wa kumwaga tu.
 
porcupine.

Porcupine na hedgehog wanaonekana kama wanafanana, lakini hata hawahusiani. Kwa mtu hasiye wafahamu ni rahisi kuwachanganya; na pengine wote uweza kukuta wanafahamika kwa jina moja la kiswahili au kienyeji.

Mtaalamu wa rodents anaweza kutufafanulia vizuri zaidi juu ya distribution ya porcupine na hedgehog hapa Tanzania.

Hapa chini, namba 1 ni Porcupine na namba 2 ni hedgehog. Wote wanapatikana bara la Afrika na Amerika ya Kusini.
 

Attachments

  • 6f3ebe238be8d4fa8d71300dd301987a.jpg
    6f3ebe238be8d4fa8d71300dd301987a.jpg
    45.9 KB · Views: 316
  • 929fc447b647add6ddef2d299993d628.jpg
    929fc447b647add6ddef2d299993d628.jpg
    10 KB · Views: 1,339
Kalunguyeye hao, hata huku Kunduchi Mtongani wapo kibao
 
Nungunungu na Kalunguyeye ni jamii mbili tofauti japo wana mimba inayofananafana kidogo.

Ni sawa kabisa. Lakini hapo kwenye "wana mimba inayofananafanana kidogo", naamini ulitaka kusema, wana miiba......
 
Hawa wanaitwa Kalunguyeye kwa kidhungu ni hedgehog, Nungunungu ni wakubwa zaidi na kidhungu chake ni pocurpine. Nungunungu na Kalunguyeye ni jamii mbili tofauti japo wana mimba inayofananafana kidogo.

hapo kwenye nyekundu ulikuwa unamaanisha nini ndugu?
 
Back
Top Bottom