Kwanini magonjwa mengi hatari yanatokea Afrika?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
385
NIMESIKILIZA BBC SWAHILI USIKU HUU WANASEMA UGONJWA HATARI WA ZIKA AMBAO UNASUMBUA BRAZIL NA AMERIKA KUSINI KWA UJUMLA ULIGUNDULIKA UGANDA MIAKA KADHAA ILIYOPITA.NIKIVUTA KUMBUKUMBU ZANGU EBOLA ILIANZIA CONGO.UKIMWI ULIANZIA UGANDA.NDUI NA MALARIA NI AFRIKA.TUNA LAANA AU!?
 
me naona hao jamaa(wazungu) wanatusingizia bana...kwa vile wao ndo wanafanya hizo research basi kila kitu kibaya africa tu!
hivi babu zetu waliishije kwani enzi hizo!
 
kuna sababu nyingi kwann mtu fulani anakuwa mgonjwa lakini mwingine hapati....mazingira tunayoishi, kazi tunazofanya, maisha yetu, kipato,jamii inakuzunguka , upatikanaji wa huduma za afya zenye viwango, kiwango cha elime , uchumi wa nchi, hali ya kisiasa, uongozi nk....jaribu kufuatilia hapa africa na ulaya au americahalafu utapata jibu ndugu yangu
 
Laana unayo wewe na familia yako unaacha kujifunza ukapata maarifa umebaki kufikilia upuuzi,na ndio nyie mnaofanya hata hii mitandao ya kijamii ionekane ni kwa ajili ya waatu wasio makini kama nyinyi, mie ningekushauli mbakie huko huko kwenye udaku muone uone kama tutawafuata, humu ni sehemu ya kutafakari na kupata ufumbuzi na hata kukemea matatizo yanayotukabili kama jamii.
Nawakilisha.
 
Hata Mimi nimejiuliza tena kama sio Uganda ni kongo.

Ila kwa maelezo ya mtaalam kuwa species nyingi original yake ni huku, pia kuna diversity nyingi za viumbe kuliko mahala popote duniani
 
Waafrica tukiona wazungu tunababaiuka
wakisema wao ni researchers tunawababaikia

huku ukweli wao wametugeuza sisi ndo 'wanyama wa kutestia virus wanaowatengeneza kwenye maabara zao

sio bahati mbaya ilipozuka Ebola huko Sierra Leone na Liberia
tayari wataalam wa magonjwa hayo kutoka Europe walikuwa huko tayari..

Ukichunguza utagundua kila mlipuko wa magonjwa unapotokea
tayari wahao researchers wako huko..kama vile walikuwa wanasubiri vile
 
Kweli kabisa mkuu
 
The boss,unachosema inawezekana ikawa ni kweli hawa wazungu wametugeuza wanyama wa kutestia virus wavitengenezavyo maabara.
Ila ninachojua mimi baadhi ya watafiti mara nyingi uwa wanakuwa na tafiti endelevu kwa hivyo wakisikia tu kuna mlipuko wa ugonjwa wanao tafiti wanachukua next flight wanakuja kusanya samples, wanazifanyia kazi, wanapate new findings, new publications and so on. Kwa hivyo ni kweli wanakuwa wanasubiria nini na wapi mlipuko wa magonjwa utatokea watie timu.
 
Afrika ni bara la giza kwa Mzungu ,hivyo chochote kibaya kwa mzungu kinatoka Afrika ,isitoshe hao hao wazungu ndio wanaofanya majaribu ya ushenzi wao Afrika ,virus wanapandikiza kwa wanyama ,halafu wanasema tatizo limeanzia Afrika wakati wao ndio chanzo
 
Kwa sababu africa ndio maisha yalipoanzia,na nikisema maisha namaanisha ya viumbe vyote.
 
Hata Mimi nimejiuliza tena kama sio Uganda ni kongo.

Ila kwa maelezo ya mtaalam kuwa species nyingi original yake ni huku, pia kuna diversity nyingi za viumbe kuliko mahala popote duniani
Magonjwa mengi ni biological weapon za hao wazungu na Waafrika ni specimen.
 
Sipati picha hii Zika ikifika Tanzania,ili kujikinga huu mwaka watu wasibebe mimba maana Zika ikiingia huku ni mwendo wa kuzaa mataahira tu;By the way magonjwa yanaanzia Africa kwa sababu ya biodiversity.
 
Tutakalia kulaumu wazungu mpaka mwisho wa dunia. Kwanini sisi tusitengeneze hao virus na kuwapelekea wao. Muda wote tunatafuta wa kumlaumu. We have to pull up our socks na kufanya advanced research na maendeleo. Hii ni sawa na kubebeshwa fuko la mavi badala ya kulitupa unamlaumu aliyekubebesha.
 
Waafrica tukiona wazungu tunababaiuka
wakisema wao ni researchers tunawababaikia

huku ukweli wao wametugeuza sisi ndo 'wanyama wa kutestia virus wanaowatengeneza kwenye maabara zao

sio bahati mbaya ilipozuka Ebola huko Sierra Leone na Liberia
tayari wataalam wa magonjwa hayo kutoka Europe walikuwa huko tayari..

Ukichunguza utagundua kila mlipuko wa magonjwa unapotokea
tayari wahao researchers wako huko..kama vile walikuwa wanasubiri vile
unanikumbusha kipindi kile wenyeji wanasema Ebola haipo,wazungu wanasema ebola ipo-mwishowe wakaamu watume wanajeshi
 
NIMESIKILIZA BBC SWAHILI USIKU HUU WANASEMA UGONJWA HATARI WA ZIKA AMBAO UNASUMBUA BRAZIL NA AMERIKA KUSINI KWA UJUMLA ULIGUNDULIKA UGANDA MIAKA KADHAA ILIYOPITA.NIKIVUTA KUMBUKUMBU ZANGU EBOLA ILIANZIA CONGO.UKIMWI ULIANZIA UGANDA.NDUI NA MALARIA NI AFRIKA.TUNA LAANA AU!?
Kila Bara lina sifa zake sifa ya Afrika ndio hio, manake kama sio vita basi maradhi. maendeleo 0%
 
Laana unayo wewe na familia yako unaacha kujifunza ukapata maarifa umebaki kufikilia upuuzi,na ndio nyie mnaofanya hata hii mitandao ya kijamii ionekane ni kwa ajili ya waatu wasio makini kama nyinyi, mie ningekushauli mbakie huko huko kwenye udaku muone uone kama tutawafuata, humu ni sehemu ya kutafakari na kupata ufumbuzi na hata kukemea matatizo yanayotukabili kama jamii.
Nawakilisha.
NAHIC UTAKUWA NA MTINDIO WA UBONGO NA TAAHIRA YA AKILI.xyz....we!
 
Usijilaani ukadhani wewe hufai sio kweli.Unafaa ila wanataka uonekane hufai ili wakufanyie unyama.Nitakayokuambia nimeyafanyia utafiti wa kina na ni kweli,naomba uniamini.

1.Usiamini vyombo vya habari,ni mouth pieces za wale ambao ndio wabaya wetu.Hawa hutumia vyombo hivi kwa mambo yote ambayo nia yake hatimaye ni kukuangamiza wewe.
2.Magonjwa uliyoyataja na mengine yatakayo kuja mapya hayatakuwa yametoka Africa.Magonjwa hayo ni biologically enginered kwenye maabara na kusambazwa makusudi kuanzia Africa ili kujaribu kuficha uovu wao.Upo ushahidi kabisa wa jambo hilo kwenye Ukimwi,Ebola na Zika.

2.Katika nchi za Ulaya nako yapo magonjwa mengine mengi ambayo huko nako yanaleta vilio.Cancer,Parkinson nk.Hayo nayo yametengenezwa kwenye maabara.Mengine hata hujawahi kuyasikia.Kwa hiyo sio kweli kwamba sisi ndio tumetupiwa.

3.Nia ni nini.Nia ni kupunguza watu duniani.Ipo programme ya kidunia ya kupunguza watu ambayo tayari imeendelea sana.Utashangaa kwamba hata uzazi wa mpango ni sehemu ya programme hiyo.

4.Mwisho,mambo haya sio siri sana kwa kuwa anayetaka kuyajua anaweza kuyasoma kwenye mtandao.
NIMESIKILIZA BBC SWAHILI USIKU HUU WANASEMA UGONJWA HATARI WA ZIKA AMBAO UNASUMBUA BRAZIL NA AMERIKA KUSINI KWA UJUMLA ULIGUNDULIKA UGANDA MIAKA KADHAA ILIYOPITA.NIKIVUTA KUMBUKUMBU ZANGU EBOLA ILIANZIA CONGO.UKIMWI ULIANZIA UGANDA.NDUI NA MALARIA NI AFRIKA.TUNA LAANA AU!?
 
Umeshaambiwa ugonjwa unasambazwa na Mbu sasa tena unachotaka kusema Africa hakuna mbu kiasi kwamba kukataa hizo possibilities ama?

Realistically wazungu wameshafuta magonjwa mengi sana ambayo chanzo chake ni mazingira or other bacteria which can be controlled; Kwa hivyo kunapotokea ugonjwa wa mlipuko nje ya nchi zao wao kufika mapema ni sehemu ya controllable learning iwapo unaweza tokea kwao wanataka kujua wanaudhibiti vipi especially airborne disease kama ebola maana (sera zao za afya zinawekeza sana kwenye prevention policies and how to control spread ya magonjwa kama haya).

Kwa mfano ebola ikifika kwenye moja ya miji mikubwa kwao unknowingly ambapo watu wanajazana kwenye matreni na maofisini hiyo spread yake siyo ndogo na iweza leta risks kubwa sana gharama kwa taifa sio za matibabu tu bali kiuchumi sasa halafu ujikute hujui unaudhibiti vipi si ndio kasheshe hapo.

Waafrika tunapenda sana kutengeneza conspiracy kama sehemu ya kutafuta solace kwa vile vinavyotushinda huko ulaya asilimia kubwa maambukizi ya HIV ni kwenye african communities hapo pia utasema wazungu wanawawekea virus waafrika ni tabia zetu tu saa zingine kuhusu maisha ambazo tunatoka nazo africa na kusafiri nazo hata nchi za wengine. Kama hapa badala ya kufikiria kupeleka wataalamu wetu kujifunza kuhusu huu ugonjwa na mbinu zitakazotumika huko kukabiliana nalo ili wapate uelewa zaidi wewe unawaza lawama tu kwa wazungu.
 
Back
Top Bottom