Recent content by Shansila

  1. S

    World's Ten Poorest Countries Revealed ; based on data from the World Bank

    kuna tatizo hapa,sisi hatuwezi kukosa kuwa ktk top 10.
  2. S

    Waislamu Walioandamana waliomba kibali cha maandamano?

    Ingawa haisemwi bayana lkn waliozuiwa kuandamana ni cdm tu...wengine ruksa.
  3. S

    Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

    Mmh!wewe utakuwa: 1:-una mtindio wa ubongo,au 2:-ndo walewale wanaogomea sensa hadi nao pia walipwe posho..au 3:-Unafikiri kwa kutumia masaburi. Chadema kimesababisha mauaji wapi?lini? Uko kinyume na watz wote wanaolaani police kutumia nguvu kupita kiasi na kusababisha mauaji. Wewe ni...
  4. S

    Hivi haya yote ni coincidence kwa CCM?

    MzunguMndali wewe ni gamba na gambani utafia...
  5. S

    Nime-mmiss Ulimboka

    Dr Uli...lini atatoka mafichoni na kufunguka juu ya janjaweed waliomteka na kumtesa?
  6. S

    Damu Ya David Mwangosi iwe ni Chemchemi ya Ukombozi

    Mungu hajalala wala hajasinzia...anaona kila kitu kinachoendelea duniani.Enyi polisi muuao watu kwa kisingizio cha kuandamana/kukusanyika bila kibali huku kibali mkitoa wenyewe mtakiona..Mimi c Mungu lkn Mungu yupo hata kama humwamini...atakuhukumu hapahapa duniani....si miaka kumi ijayo ni...
  7. S

    sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

    Kupe;utajinyea bure mzee wakati tumbo hauumwi wewe...wewe na magamba wenzio punde mtageuka chama cha upinzani kilichopoteza mvuto kama KANU...haiwi rahisi kuamini kuwa sasa zama za magamba zimepita ila wewe ni kati ya abiria wachache mnaoisindikiza meli ya ccm hadi kutia nanga kwenye kina...
  8. S

    picha ilipigwa dakika 20 kabla ya kuuwawa kwa maerhemu daud mwangosi

    Yaser wewe ni gamba na gambani utafia....yaani unataka kuuambia ulimwengu kuwa huyo jamaa kauawa na cdm?mbona hata mtoto wa chekechea anajua ndg yetu Mwangosi kauliwa na nani...au wewe hata chekechea hukufika?ukaja kusoma kile kisomo chenye manufaa..cha chini ya mti..a.k.a memkwa..a.k.a ngumbaro?
  9. S

    wananchi jihadharini na mikutano isiyo vibali ni kafara za CHADEMA

    Huyu ni walewale wenye fikra chovu...sijui anamwambia nani hapa mwenye akili kama zake?yaani watu kama hawa ukisoma thread yake tu unajua alivyo..uvaaji wake,mlo wake,elimu yake nk.........ila ujumbe wake utawafikia watu wa aina yake tu.........lkn c wenye akili.
  10. S

    "Chadema wanaleta vita"

    Tuendelee kusubiri....ili tujue ukweli.Hata waliokwisha kutwaliwa kwa njia ya risasi za police walikuwa wanasubiri kujua ukweli....lkn wao ndo wakawa ukweli unaofuatia.
  11. S

    Police wanawezaje kuunda tume kujichunguza?

    Sure....Lukindo....nowhere else.
  12. S

    Police wanawezaje kuunda tume kujichunguza?

    Asubuhi ktk kipindi cha patapata nilimsikia kamanda wa police Iringa........Kamihanda akilisafisha jeshi la police kuwa halihusiki na tukio la kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi aliyeuawa kwa kitu kinachosadikika kuwa ni bomu ktk kijiji cha Nyororo-Mufindi. Ktk utetezi wake,RPC...
  13. S

    raia mtomboki wa DRC

    Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekuwa kawaida kwa waasi kujiita majina tofautitofauti mfano Maimai,Banyamulenge n.k!Sasa wengine wameibuka;wanajiita RAIA MTOMBOKI.
  14. S

    Umeshaombwa soda airport?

    kuna wakulima humu jf wanadhani kila wanayemwona airport ni afisa uhamiaji.
  15. S

    Nikipata ushahid kuhusu kipigo cha Dr Ulimboka, niupeleke Wap?

    niletee mimi pale mabwepande.Ukiuanza msitu;tembea hatua mia kisha piga mluzi,nitajibu kwa mluzi pia,hafafu uje pande hiyo mluzi unakotokea.
Back
Top Bottom