Recent content by Shaabukda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Nyumba

    Nyumba unataka iweje? Unataka kuijenga wapi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania ***** Chupi ***.....

    Ladies - white, pink, red, violet etc. Kama ni dada mweupe sana, rangi nyeusi pia inanipa mzuka. Kwa wanaume sijui....labda wadada watuambie! Binafsi sipendelei hot colours wala nyeupe.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    Na mimi nimeshangaa, Kichwani Zero ghafla kageuka kuwa MNYISANZU
  4. S

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Nguruvi3..!!

    Hongera sana Nguruvi3
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

    Hiyo namba 3 ni extremely subjective. What is "cheap" to you?
  6. S

    JamiiForums Tanzania John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

    Yaani huyu jamaa huwa namfananisha na jaji werema! Vyeo vikubwa lakini watupu 'upstairs'!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufichana mambo kati ya mke na mume....

    Duh....hiyo balaa!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni mara chache kupona katika ajali kama hiyo!!!

    Wapi hii?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mh.J.MRISHO KIKWETE NA KAMISHINA WA SENSA TZ AMINA MRISHO NI NDUGU?

    Una maana wote ni watu makini sana!?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere's best hotuba.

    Huyu mzee alikuwa anaona mbali sana!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sensa: Ponda, wenzake wahesabiwa

    Hivi kamishna wa sensa ni dini gani?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Agosti 2012

    Khaaa!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Deadline ya Sensa haijaisha, Why Watu wanashitakiwa kwa Kutokuhesabiwa??

    Kwani hao walioshtakiwa walikataa kwa sababu ya kukosa uhakika wa taarifa zao/fulani?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Deadline ya Sensa haijaisha, Why Watu wanashitakiwa kwa Kutokuhesabiwa??

    Ndio maana nimetumia neno "ushirikiano"! Sote tunajua kunaweza kuwepo dharura au udhuru......lakini sifikirii kama kwa mtu wa namna hiyo atoatoa jibu kama "sitaki" kwa karani.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Deadline ya Sensa haijaisha, Why Watu wanashitakiwa kwa Kutokuhesabiwa??

    Nafikiri unachukuliwa umekataa kuhesabiwa pale karani wa sensa anapokuja nyumbani kwako wakati ukiwepo lakini ukakataa kumpa ushirikiano........hata kama muda wa zoezi zima haujesha!
Back
Top Bottom