Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
I'll be back in toe to toe style.
I'll be back in toe to toe style.
Dawa ya mtu mwenye malalamiko yasiyo msingi ni ndogo tu. Mpe hizo data anazotaka halafu tuone atazifanyia nini.
Ukimnyima unampa msemo, anaonekana anachosema kina ukweli ndio maana unamnyima.
Isitoshe, sio kila anayetaka data za dini ni uamsho.
Kuna watu wanataka kufanya research za ku impact public policy.
Serikali ikikataa kuhesabu watu kwa dini inawanyima wasomi hawa data na public policy inadhoofika kwa kukosa input ya wasomi hawa iliyokuwa based on credible census data.
Toe to toe haianzi na dochi!!
Umpe kwani yeye hawezi kuzitafuta mwenyewe?
Kwa watu walio na ajenda zao hata ufanyeje you are damned if you do and damned if you don't.
Sawa.
Then they are free to go and collect their own data.
Yaani wewe unaona ni serikali tu ndiyo yenye kuweza ku collect data?
Mimi nimeshawahi kufanya kazi kidogo pale ESAURP na tulikuwa tuna collect data kwa ajili ya tafiti mbalimbali.
Na hii ESAURP ni ya wasomi hao hao na ilikuwa ikiongozwa enzi hizo na Prof. Maliyamkono.
Wasomi wasitegemee kila kitu toka serikalini. Wafanye nao tafiti zao zinazotokana na data zao wao wenyewe.
ESAURP
tanzania hakuna correlation ya dini na kuzaliana bali ya sehemu na sehemu kutokana na elimu, kipato, miundo mbinu , ndio maana ninakwambia growth rate ya population sema mwanza, shy, kigoma, haikuzwi sababu ya dini, au ya lindi na mtwara, halafu kwa sababu ya kuwepo kwa hospitali , idadi ya waliozaliwa inaweza kupatikana huko ndio maana wakati wa Iddi tutaambiwa hospitali fulani watoto 48 walizaliwa, wasichana kadha na wavulana kadha, halafu watu wana hama hama, zamani mwananyamala au kinondoni au magomeni watu wa dini fulani walikuwa wengi lakini si sasa, nenda kimara , halafu hao wenye kuo wake wengi siku hizi ni hadithi, labda uwe tajiri fulani ama sivyo yatakushinda, ukiweza saana ni wake wa wawili na average ya watoto ni wawili wawili at most moja anaweza kuwa na watatu, hivyo maximum ya watano, enzi za Mzee Songambele, Alhaji Mwinyi zimepitwa na wakati, hata Husein Mubarak wa Egypt na mabilione yake alikuwa na Mke Moja, watoto labda watano, sasa itakuwa hawa ma Mwinyi wetu wa Mafia, wakati kulisha familia shida, matokeo yake idadi ya familia kuongezeka ina pungua due to diseases na lishe duni, ndio maana tuna sema hatutangazi dini. bali kipato, elimu na wapo wangapi katika chumba kimoja au viwili au vitanoKama dini ina affect sera za uzazi wa mpango, ni muhimu kwa serikali kujua idadi ya watu na mtawanyiko wa watu kwa mujibu wa dini.
Huja address hilo.
Researchers wako UDSM, wanataka kuangalia correlation ya religious affiliation na reproductive rates all over Tanzania ili ku advise public policy, wanahitaji neutral credible data kama za sensa ili kufanya research vizuri.
Serikali imekataa kuhesabu watu kwa dini kutokana na upuuzi wa wachache.
Inakwamisha ufanisi mzima wa sera ya uzazi wa mpango kwa sababu haijakusanya data kwa kuogopa kivuli chake yenyewe.
tanzania hakuna correlation ya dini na kuzaliana bali ya sehemu na sehemu kutokana na elimu, kipato, miundo mbinu , ndio maana ninakwambia growth rate ya population sema mwanza, shy, kigoma, haikuzwi sababu ya dini, au ya lindi na mtwara, halafu kwa sababu ya kuwepo kwa hospitali , idadi ya waliozaliwa inaweza kupatikana huko ndio maana wakati wa Iddi tutaambiwa hospitali fulani watoto 48 walizaliwa, wasichana kadha na wavulana kadha, halafu watu wana hama hama, zamani mwananyamala au kinondoni au magomeni watu wa dini fulani walikuwa wengi lakini si sasa, nenda kimara , halafu hao wenye kuo wake wengi siku hizi ni hadithi, labda uwe tajiri fulani ama sivyo yatakushinda, ukiweza saana ni wake wa wawili na average ya watoto ni wawili wawili at most moja anaweza kuwa na watatu, hivyo maximum ya watano, enzi za Mzee Songambele, Alhaji Mwinyi zimepitwa na wakati, hata Husein Mubarak wa Egypt na mabilione yake alikuwa na Mke Moja, watoto labda watano, sasa itakuwa hawa ma Mwinyi wetu wa Mafia, wakati kulisha familia shida, matokeo yake idadi ya familia kuongezeka ina pungua due to diseases na lishe duni, ndio maana tuna sema hatutangazi dini. bali kipato, elimu na wapo wangapi katika chumba kimoja au viwili au vitano
nenda hospitali zetu wa idadi ya watoto kuzaliwa kila siku utapata jibu, ukitoka hapo nenda vizazi na vifoo, baada ya hapo kamwangalie Sheik Ponda ana wake wangapi na watoto wangapi, ukimaliza hapo angalia kijana wa sasa hivi anao wake wangapi na ana watoto wangapi, baada ya hapo nenda lindi ukaangalie average number of children in a family, then nenda kasulu au kibondoHuyu kashapata jibu kabla ya kufanya research.
Hajui kwamba hata kama anachosema ni kweli, authority na verification ya research bado inatakiwa.
Uamsho inatisha mpaka watu wanalia "Msalie Mtume" kwa mtume wasomuamini!
:]
nenda hospitali zetu wa idadi ya watoto kuzaliwa kila siku utapata jibu, ukitoka hapo nenda vizazi na vifoo, baada ya hapo kamwangalie Sheik Ponda ana wake wangapi na watoto wangapi, ukimaliza hapo angalia kijana wa sasa hivi anao wake wangapi na ana watoto wangapi, baada ya hapo nenda lindi ukaangalie average number of children in a family, then nenda kasulu au kibondo
Hapana. Tungependa kazi serikalini nk zigawanywe kadiri ya wingi wa watu kwenye makabila yetu.
The problem is always when or where to stop.
Ambapo sikubaliani naye ni pale aliposema "kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM".
Bado naamini kuna Watanzania wengi tu ambao ni wasafi na wenye sifa za uongozi ambao hawapo CCM.
Kwa msingi huu utajuaje kwamba watu wa Mkoa fulani hawatafanya hivyo hivyo ili ku boost population ya mkoa wao?
Suala la dini ndilo lililoleta changamoto zaidi...hivyo uwezekano wa kupotosha data ulikuwa ni mkubwa. Kwa jinsi wale masheikh walivyokuwa wanashikia bango...uwezekano wa kuwa na agenda nyingine zaidi ya kupata takwimu za kuisaidia serikali kutekeleza mipango yake kwa wananchi ulitamalaki.