Mbona majibu yenyewe ni mashudu matupu.Tendwa pamoja sina imani naye lakini kajibu swali la polisi vizuri.
Kumbe mabadiliko yanawezekana wajamen????
Haya ndio majibu ya Ritz kweli??
Tendwa pamoja sina imani naye lakini kajibu swali la polisi vizuri.
Yaani huyu jamaa huwa namfananisha na jaji werema! Vyeo vikubwa lakini watupu 'upstairs'!Duuuh Tedwa leo kabanwa ma ka li o
Leo kakutana na vichwa
POLE TWENDWA
LEO tendwa amekuwa mboga duuh uwakilishi wake duuu
Umeona hee liverpoor hata mm nimeshtuka majibu haya ya Ritz au kuna mtu kaiba password yake jamani haiwezekani
Hivi huyo jamaa aliyevaa suti nyeusi yupo karibu na Tendwa wana ujamaa na Mnyika?
Piga simu umwulize masako.Hivi huyo jamaa aliyevaa suti nyeusi yupo karibu na Tendwa wana ujamaa na Mnyika?
Hivi huyo jamaa aliyevaa suti nyeusi yupo karibu na Tendwa wana ujamaa na Mnyika?