Madhara ya kufichana mambo kati ya mke na mume....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
MUME: kuna tangazo limetoka kila mtu mwenye watoto kumi
atapata zawadi ya gari na nyumba
MKE: Lakini sisi tuna watoto 8?
MUME: Samahani mke wangu..nina watoto wawili wa nje
naenda kuwachukua wawe 10.

muda mfupi uliofuata mume akatoka mbio kwenda kuwafuata
wale watoto aliiozaa nje ya ndoa.
Aliporudi akamkuta mkewe analia sebureni (alidhani analia kwa wivu)

MME: Imekuwaje tena mke wangu mi nilidhani yameisha,
nimekuja na hawa watoto walete wale 8 tukachukue mkoko
MKE: Samahani mume wangu nilikuficha siku nyingi..kati ya wale
watoto wetu 8 SITA sio wako..nilizaa na Daudi kwa hiyo
na yeye amekuja kuwachukua watoto wake.....!!
 
Back
Top Bottom