Recent content by Sgaga

  1. S

    Natafuta mchumba

    Naamini jamvi hili ni mojawapo ya njia rahisi sana ya kunikutanisha na aina ya mtu nayemtaka Sifa Awe mkristo Umri miaka 25 hadi 28 Mwembamba rangi yeyote ila mkorogo sitaki Elimu form four na kuendelea Kabila lolote ila mzaramo na mmakonde...
  2. S

    Karibunii Vijana wa CHADEMA.,Karibuni CCM…!

    Mkuu huyu aliyeandika ni ile vuvuzela ya magamba a.k.a mtoto wa nje wa Mzee Nauye (R.I.P) mtu form form kapata dvs four point 29 si sawa na zero hiyo sasa unafikiri mtu huyo atakuwa ana akili ya namna gani???!!!,Usipoteze muda wako kwa yule mpuuzi
  3. S

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Mbona magamba (CCM) mmempa msomari ukatibu mkuu!!!
  4. S

    Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

    mme wake alisema hajui maana ya logistics
  5. S

    Sababu zipi zinasababisha chuchu za binti ambaye hajazaa kuanguka (yaani kuwa kama anayenyonyesha)?

    Habari ndugu zangu! Nina mchumba wangu 23yrs na bado anasoma ila kinachonishtua ni kwamba matiti yake yamelala kama mama anayenyonyesha. Ninampenda ila nilipomuuliza kama ameshatoa mimba amekataa. Kuna sababu nyingine zinazoweza kumfanya mwanamke kuwa hivyo?
  6. S

    Tamko la pamoja la viongozi wa dini kuhusu mgomo wa madaktari leo tarehe 07/07/2012, travertine hote

    Kama hutakuwa na makamasi kwenye ubongo wako basi una mafunza yale makubwa yaani puuzi kweli wewe kwani hao ma dr madai yao ni mshahara tuu?
  7. S

    Chama kisicho na matabaka ya udini na ukabila ni ccm tatizo ni ufisadi.

    Una akili ndogo sana wewe kama kuku,wewe unafikiri huyo ****** madudu yake si huyajui kwa sababu ana dola,kina maige na magamba wenzake ni rahisi kujulikana kwa upuuzi wao.si alisema ccm watajivua gamba,kama ni kiongozi mzuri toka amesema hivyo ni muda gani sasa,kuhusu kutugawa kwa falsafa zenu...
  8. S

    Kwa heri c.c.m udom

    kabane hao hadi ma class leaders wawe wavaa magwandwa
  9. S

    Mzee wa Mchemsho Ezekiel Maige umechanganyikiwa?

    Tatizo hili jamaa ni pumbavu kweli na midomo mbinuko yako kama ........... yaani lenyewe lilifikiri limefika pale kumbe kile cheo ni dhamana 2,ni kitu cha ajabu kuona hadi leo bado linapiga kelele kama binti aliyetolewa bikra bana,linakera sana,huo siyo uanaume
  10. S

    Maige: CCM itakufa

    pumbavu hilo na midomo mbinuko yake kama K,yaani lenyewe lilifikiri litakuwa hapo siku zote.tataizo hakubaliani na hari ya mabadiliko
  11. S

    Maige: CCM itakufa

    yaani hili jamaa kweli ni poyoyo yani hadi leo bado linaumia tu,badala ya kufikiria mbele zaidi,alifikiri pale atakaa milele na midomo yake iliyobinuka kama.......pumbavu kweli hili
  12. S

    Maige: Majungu CCM yameniondoa uwaziri

    Hili pumbavu kweli yaani hadi leo bado linauma tuu,badala ya kufikiria mbele,yaani kwa akili yake mbovu alijua pale ndyo kafika yaani poyoyo kweli na midomo yake iliyobinuka
  13. S

    Bikira ni kigezo cha kumpenda mwanamke?

    Ni heshima sna kwa kumkuta mwanamke ambye anafaa kuwa wife kuwa ana bikra ,kuna dada mmoja ambaye nilipanga angekuwa mke wangu na na alikuwa na umri kati ya 25-27,na kunihaidi atanipa siku ya ndoa ,nikapata udhuru wa kusafiri nje ya mkoa kwa mwaka 1,na mawasiliano yalikuwa pale pale,cha ajabu...
  14. S

    Kwa hili JK katuweza

Back
Top Bottom