Litvinienko
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 313
- 105
Na kweli,Mgomo?! Ni upepo tu utapita!
Vote of no confidence ilikuja ikapita,
****** jinias
Na kweli,Mgomo?! Ni upepo tu utapita!
hayo wanayotaka yote rais ameshayajibu...
amesema
hawa waliokutana ilikuwa pati ya soda mambo haya yote rias amesha yasema kwa ufasaha kabisa...
- anaetaka arudi lakini serikali itawahudimia kwa uwezo uliopo na kwamba madai yao mengine yatashughulikiwa kwa kadri nguvu ya serikali itavokuwa
- ama kuhusu anayehisi hawezi kufanya kazi basi bora aache kazi ..na kutafuta kazi sehemu nyengine ambayo anaona maslahi ni makubwa,lakini kwa sasa serikali haina uwezo wa wanayotaka
- hakuna aliefukuzwa ila kuna ambao hawaripoti kazini hivyo wamejifukuzisha wenywewe. hakuna mwajiri ambaye atakubali kulipa mtu ambaye hafuki kazini
- ima kuhusu ulimboka amesema wazi anaomba uchunguzi ufanyike haraka...na uwe wa wazi..hili pia waziri mkuu ame hakikisha ndani bunge kwamba uchunguzi utafanyika ili9 ukweli ujilikane..
- kuihusu kumlinda ulimboka hili sidhani kama ni vyema kwa serikali wataweza kwani madaktari walikataa na tangu mwanzo hawaku ishirikisha serikali na wameendelea kumficha amabapo utazorotesha kupata ukweli wa kisa chenyewe.
ilitakiwa hawa wawashauri madaktari warudi kazini kuokoaq maisha ya watanzania na pia waendelee kuzungumza na serikali kuhusu madai yao sasa wakutane na rais wafanye nini ? unataka rais afanye nini? atawaongezea hio mishahara ? wambieni ukweli wana nchi hawapo pamoja na madaktari kwa kitendo chao walicho kifanya
mgomo wao mara hii ume flop kwani haukuwa na sababu ila kuwakomoa maskini wa nchi hii ambao hawana uwezo wa kwenda hospital za binafsi au hospitali za hao madaktari kama Tumaini
There is no moral equivalency between the failures of a corrupt ruling elite and the actions of the striking doctors. NONE whatsoever!

TAMKO LA PAMOJA LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI LEO TAREHE 07/07/2012, TRAVERTINE HOTEL, DAR ES SALAAM.
(Viongozi hawa walitoa tamko baada ya kukaa na madaktari, wanaharakati na watu wa taasisi za haki za binadamu...)
1. TUNAIOMBA SERIKALI IFUTE KESI ILIYOKO MAHAKAMANI
2. TUNAIOMBA SERIKALI IWAREJESHE MADAKTARI WOTE WALIOFUKUZWA KAZI
3. TUNAMUOMBA Mhe. RAIS AKUBALI KUTKUTANA NA VIONGOZI WA DINI NA MADAKTARI ILI KUMALIZA MVUTANO HUU. MADAKTARI WAKO TAYARI.
4. TUNAOMUOMBA Mhe. RAIS AUNDE TUME HURU ITAKAYOCHUNGUZA SAKATA ZIMA LA WALIOHUSIKA NA UTEKWAJI, UDHALILISHAJI NA UTESWAJI WA DK. ULIMBOKA STEPHEN. TUME HIIYO TUNAOMBA ISHIRIKISHE VIONGOZI WA DINI, SERIKALI, WANASHERIA MADAKTARI NA TAASISI ZA HAKI ZA BINADAMU.
5.TUNAIOMBA SERIKALI KUTOA ULINZI WA UHAI WA DK. ULIMBOKA STEPHEN NA MADAKTARI WENGINE.
Imesainiwa na Sheik. Said Mwaipopo (M/Kiti Baraza la Habari La kiislamu Tanzania) na Rev. Lawrence Mnzava kutoka E.A.G.T-MABIBO)
ndugu, dhamana aliyopewa jk ni kuwajali watanzania wote, madaktari wakiwemo. Unahitaji akili fupi ukiwa raisi wa nchi kutunishiana misuli na madaktari wakati mamia ya watu wanateketea! Afadhali uwaambie kaeni pembeni kisha ulete wengne kama unao! Lakini hapa ni ubabaishaji mtupu, mara asiyefanya kazi tunamfukuza, mara tunamfuta usajili, mara mahakamani nk nk. Ni kukosa mwelekeo. Kwa vyovyote vile gharama ya kuwafukuza itakuwa kubwa sana!
hahaaaa nimefurahi kusikia kwamba jk anadanganywa na amedanganyika,,,,tehetee
ila nafurahi zaidi wananchi hawadanganyiki lol
hapa lazima akili kubwa ifanye kazi ya ziada
TAMKO LA PAMOJA LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI LEO TAREHE 07/07/2012, TRAVERTINE HOTEL, DAR ES SALAAM.
(Viongozi hawa walitoa tamko baada ya kukaa na madaktari, wanaharakati na watu wa taasisi za haki za binadamu...)
1. TUNAIOMBA SERIKALI IFUTE KESI ILIYOKO MAHAKAMANI
2. TUNAIOMBA SERIKALI IWAREJESHE MADAKTARI WOTE WALIOFUKUZWA KAZI
3. TUNAMUOMBA Mhe. RAIS AKUBALI KUTKUTANA NA VIONGOZI WA DINI NA MADAKTARI ILI KUMALIZA MVUTANO HUU. MADAKTARI WAKO TAYARI.
4. TUNAOMUOMBA Mhe. RAIS AUNDE TUME HURU ITAKAYOCHUNGUZA SAKATA ZIMA LA WALIOHUSIKA NA UTEKWAJI, UDHALILISHAJI NA UTESWAJI WA DK. ULIMBOKA STEPHEN. TUME HIIYO TUNAOMBA ISHIRIKISHE VIONGOZI WA DINI, SERIKALI, WANASHERIA MADAKTARI NA TAASISI ZA HAKI ZA BINADAMU.
5.TUNAIOMBA SERIKALI KUTOA ULINZI WA UHAI WA DK. ULIMBOKA STEPHEN NA MADAKTARI WENGINE.
Imesainiwa na Sheik. Said Mwaipopo (M/Kiti Baraza la Habari La kiislamu Tanzania) na Rev. Lawrence Mnzava kutoka E.A.G.T-MABIBO)
Hata huo mwezi sidhani kama ratiba itaruhusu! Programme yake iko tight.
JK anajua ukweli wote kuliko nyie mnavyojua. Na tokana na ukweli huo ndiyo kawaambia madaktari wachague kazi ama waondoke. Hakuna kuwabembeleza madaktari.
kikwete kwa hili ameshikwa pabaya..hawa siyo walimu..
nasikia wale madaktari walio kwenye mafunzo leo wametibu wagonjwa kwenye viwanja vya jangwani..
kweli kutunisha misuli wataomia ni raia masikini ..lakini nani katunisha misuli? Tuwe wakweli jamani tusifanye ushabiki kwenye maisha ya watu..
Madaktari ndio walio tunisha misuli
hivi ukiulizwa kama rais amepotoshwa...sasa yapi ambayo rais hakuyataja kama madai ya madaktari wetu?
Ni rahisi sana madaktari wanajua namna ya kutumia vyombo vya habari....kwa nini wasinde kesho wakatoa press release ikachapishwa kwamba tumeskia rais lakini sisi madai yetu sio yale bali ni haya hapa...wananchi wataelewa na rais ataelewa....atawaita kikwete bwana msikivu na mstahamilivu sana tena sana hata ikawa mnamsema vipi..lakini ni msikivu..
Hivyo tuwashauri madaktari kesho watoe press release ikanushe yake aliyosema rais na kwamba alipotoshwa na wasaidizi wake na sisi madaktari tunadai haya ..na yalio timizwa ni haya na ambayo bado ni yale
hii ndio mbinu ya mazungumzo lakini unaposema tu rais kapotosha bila ya ushahidi basi hio ni mbinu ya kutaka kuwa babaisha raia..ni mbinu ya kulaumu bila ya kutoa unachotaka
bado madaktari wana wajibu wa kurudi kazini ....
Naamini wakirudi kazini jk....huyu bwana ni wa pekeee wakitaka wasitake..atawasikiliza
doctors please rudini kazini....mkiendelea hivi mnaji dharaulisha ...daktari ni mtu anaeheshimika sana lakini kwa namna hii mtaonekana wa ajabu tu.
Madaai yenu daini , wekeni presha kwa serikali, kuna namna nyingi za kudai madai yenu..mathalani mnaweza kusema ni marufuku kuwashughulika wanasiasa ...mpaka madai halali yawetekelezwe.
Kama hutakuwa na makamasi kwenye ubongo wako basi una mafunza yale makubwa yaani puuzi kweli wewe kwani hao ma dr madai yao ni mshahara tuu?KIkwete harudi tena kuzungumza nao ,kwani alishawapa term wao ndio walivunja na kuingia kwenye mgomo ,sasa arudi kufanya kitu gani ,anaeona mshahara mdogo aombe kuacha kazi ,very simple !
Na nyie Mashekhe ubwabwa wacheni kuingilia yasio wahusu ,mbona mlipodai mahakama za Kadhi hatukuwaona madokta na walokole kuwasaidia zaidi ya kuwadidimiza na kuwatilia mguu ,mambo yenu yasitekelezwe ,leo walokole weshakuwa wazuri ?? Wacheni una..!