Karibunii Vijana wa CHADEMA.,Karibuni CCM…!

Karibunii Vijana wa CHADEMA.,Karibuni CCM…!

Ni kweli chama cha mapinduzi kinatekeleza sera zake kwa umakini sana ImageUploadedByJamiiForums1363600212.664408.jpg ImageUploadedByJamiiForums1363600234.025150.jpg ImageUploadedByJamiiForums1363600369.294908.jpg
 
Huyo dogo anayewapotezeeni muda kujadili upuuzi wake hapa mwenyewe ni fisadi ndio maana anataka kupumbaza watu maana anajua vyema siku chama chake kikitoka madarakani atatafuta pa kujifichia. Muulizeni amesharudisha pesa za saccos alizokwiba yeye na diwani wake aliyepita? Na mumshauri afanye mpango ahame pale anapokaa maana ni mferejini kabisa na masika ndio hayo yanakuja.
 
Huu kweli upumbavu uliovuka mipaka. Hakuna haja ya kupoteza muda kujadili ----- huu. Watu wenye umri wa sasa (vijana) wako zaidi kwa maendeleo kuliko huyu mchumia tumbo. Mwandishi wa thread hii nadhani anaridhika na pilao, sare na vitu vidogo vidogo. Tumuogope kama ukoma.
Mkuu huyu aliyeandika ni ile vuvuzela ya magamba a.k.a mtoto wa nje wa Mzee Nauye (R.I.P) mtu form form kapata dvs four point 29 si sawa na zero hiyo sasa unafikiri mtu huyo atakuwa ana akili ya namna gani???!!!,Usipoteze muda wako kwa yule mpuuzi
 
ukija na maelezo ya kinaga ubaga kuhusu epa, kagoda richmond meremeta ighondu ( urimboka) mwangosi, na mengine mengi na fedha za uswiss. Kwambali ndiyo nitapungza hasira zangu kwa ccm. Lakini aslani sitakuwa mwana chama wa ccm. Kwangu ni dhambi namba moja ambayo ninauhakika itanipeleka motoni

unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu ndani ya cdm kama mipango ya kummaliza kibanda na waliokwisha tolewa sadaka na chama chenu cha cdm kama mwangosi, mussa, chacha wangwe n.k?
Unayo maelezo ya matumizi ya pesa za ruzuku na michango ya watanzania katika m4c kutumiwa na mtu binafsi katika shida zake(slaa kujikopesha milion 140) kinyume na utaratibu wa chama?
Unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa demokrasia ndani ya cdm mathalani kufukuzwa kwa kina shonza,mwampamba, habib mwinchange n.k bila utaratibu kufuatwa?
Wacheni vijana wenye akili zao waende wakipiganie taifa lao na watanzania kwa ujumla ndani ya chama tawala ccm.
 
Nape bwana! Akinywa ile pure ya chupa! Anafurahisha na hadithi za buicheka!
 
ukija na maelezo ya kinaga ubaga kuhusu EPA, kagoda richmond meremeta ighondu ( urimboka) mwangosi, na mengine mengi na fedha za uswiss. kwambali ndiyo nitapungza hasira zangu kwa CCM. lakini aslani sitakuwa mwana chama wa ccm. kwangu ni dhambi namba moja ambayo ninauhakika itanipeleka motoni

tumshukuru MUNGU kwa maana vijana wengi sana wameamka,na hawakubali kurudi nyuma!big like to u
 
Kwa hiyo bila vijana wa chadema kuhamia CCM ,CCM hakiwi chama unakubaliana na ukweli kuwa chadema ndio dume bora linalotoa mbegu bora ya vijana ,makapi yanapeperushwa kupelekwa CCM na mada umeileta kupoteza dili la uongo wa video iliyotumwa you tube na Nape na Mwigulu
 
Katika mambo ambayo
yameongeza mvuto wa shughuli za kisiasa hapa nchini, ni kile
kinachoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi kushika hatamu katika kuonyesha
dira ya uongozi wa shughuli za kisiasa hapa nchini. Hatua hiyo imefikiwa
baada ya Chama Cha Mapinduzi kufanya mabadailiko katika safu yake ya
uongozi kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za kata na mashina.

Kimsingi ni kwamba hali ya siasa ndani ya chama cha Mapinduzi
imeendelea kuwa shwari na ya Utulivu ambayo inawapa fursa viongozi wa
chama hiko kufanya kazi kwa ushirikiano na umoja zaidi
tofauti
na kipindi cha nyuma ambapo makundi yalikaribia kukiangamiza chama hiko
kikongwe hapa nchini.

Mafanikio ambayo yanaonekana kupatikana ni pamoja na kuongezeka kwa kasi
ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, ambapo
kumekuwepo na kasi inayoridhisha ya utekelezaji wa ahadi zake na pia
usimamizi makini wa shughuli za serikali katika kuwaletea Maendeleo
wananchi.

Kuanzia Mawaziri, Mananibu, Wakuu wa Idara na vitengo Serikalini,
wakuu wa mikoa na ma_DC pamoja na wakurugenzi wamegeuka kwa wachapa kazi
hodari chini ya usimamizi wa viongozi wa CCM
ambao hupita
kufanya ziara na kutoa maagizo mbalimbali ya utekelezaji na utatuzi wa
kero za wananchi katika maeneo hayo. Ma-DC wapya ambao wengi
wametokana na UVCCM
, wamekuwa mstari wa mbele katika kusimamia
ILANI ya Chama katika ngazi za wilaya wakishirikiana na wa_NEC wa Wilaya
pamoja na Wenyeviti wa Chama Wa wilaya wa UVCCM na CCM.

Kasi hii imeongezeka na kutia faraja zaidi kwa chama cha Mapinduzi
kufuatia matukio ya Vijana wa Chadema kuuona na kuushuhudia
ulaghai mkubwa wa Chama hiko, na hivyo kuamua kuamia CCM makundi kwa
makundi,
tumeshuhudia Matukio ya Kuhama kwa Mwenyekiti wa
Chadema UK, Lukosi na Safu yake ya uongozi
na kurudi CCM, tumeshuhudia SHONZA makamu mwenyekiti
wa BAVICHA
taifa akijiunga na CCM, akiongozana na
MTELA na wengineo, tumekuwa tukipata
taarifa kila kukicha ya vijana kuhamia CCM hata katika yale maeneo
ambayo upinzani umeonekana kuwa ni ngome yao kama mikoa ya Kilimanjaro
na Arusha pamoja na Manyara.

Matukio ambayo yamekuwa kivutio cha wengi na hasa baada ya Vijana hao
kupata nafasi ya kuieleza hadhira juu ya sababu zao za msingi
zilizowakimbiza Chadema ambapo walitaja kuwa ni Ubaguzi uliokithiri na
Upendeleo, ambapo wengi wao walieleza kinagaubaga kuwa Chama hiko ni
cha wanaharakati na wala si chama ambacho kinaviongozi makini na
watawala wenye hekima.

“Chadema haina viongozi wala watawala bali ni
kikundi cha wanaharakati ambao wanaendesha harakati zao kwa maslahi
binafsi na ubaguzi mkubwa”
aliwahi kusikika Mtela
Mwampamba ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mbeya.
Kwa wale ambao wanawafahamu watu kama LUKOSI, MWAMPAMBA, SHONZA, ABDUL
ISSA n.k na harakati zao na mikakati yao ya kuieneza na kuiimarisha
CHADEMA hapa nchini, wamepigwa na butwaa baada ya matukio haya ya watu
hao kuihama chadema, lakini wengi wameshtushwa zaidi na taarifa hizo juu
ya kinachoendelea Chadema, na wanajiuliza hatma ya Chama
hiko ni ipi.?

Pamoja na sababu nyingine pia vijana hao walifikia Uamuzi huo wa
kukihama chama hiko baada ya kupigania kusimamisha Demokrasia ya kweli
ndani ya Chadema na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Kanuni na Taratibu
uliokuwa ukifanywa na “viongozi wakuu” wa
Chadema.

WanaCCM wote pamoja na Mimi tunawapongeza vijana hawa kwa uamuzi wao
ambao wenyewe wameutambua kuwa ni “uamuzi
sahihi”
na kila mmoja katika sisi tumekiri kuwa uamuzi
uliofanywa na vijana hawa ni uamuzi sahihi tena ulio thabiti ambao kila
kijana ambae anafikiri sawasawa anatakiwa kuuchukua.

Pamoja na pongezi hizo, tuchukue fursa hii kuwataka vijana ambao
wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA kuona hatari inayoendelea Chadema
na hasa baada ya kudhihirika sura yao kamili kwenye macho ya
watanzania, kwa yale yaliyobainishwa na Vijana hawa waliohama huko
lakini pia haya yaliyoibuliwa katika mitandao na kuwafanya baadhi ya
viongozi waandamizi wa chama hiko kuwekwa chini ya Ulinzi.

Umefika wakati sasa wa vijana kukihama na kujiepusha kabisa na shughuli
zote zisizo na nia njema na Taifa zinazofanywa na Chadema na kutafuta
Chama kingine ambacho kinasimamia Uadilifu, Ukweli, Haki na Nidhamu ya
kweli kama CCM.
Karibuni CCM, Chama kinachotoa fursa sawa kwa wanachama wake na
kuthamini wanachama kulingana na michango yao na huduma yao kwa
Chama.

Ni matumaini ya mgonjwa anaekaribia kukata roho! hizo takwim subiri 2015 ndo uzileta.
 
unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu ndani ya cdm kama mipango ya kummaliza kibanda na waliokwisha tolewa sadaka na chama chenu cha cdm kama mwangosi, mussa, chacha wangwe n.k?
Unayo maelezo ya matumizi ya pesa za ruzuku na michango ya watanzania katika m4c kutumiwa na mtu binafsi katika shida zake(slaa kujikopesha milion 140) kinyume na utaratibu wa chama?
Unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa demokrasia ndani ya cdm mathalani kufukuzwa kwa kina shonza,mwampamba, habib mwinchange n.k bila utaratibu kufuatwa?
Wacheni vijana wenye akili zao waende wakipiganie taifa lao na watanzania kwa ujumla ndani ya chama tawala ccm.
mbona hiyo melody hata KIkwete mwenyekiti wa CCM,KInana katibu mkuu wa CCM wanajua imebuma sasa ameenda uchina kuchukua spray za kupulizia watu machoni kuwanyamazisha mwaka huu mumeshaipata na haija fika june
 
mbona umesha jadili mpumbavu wewe
Usipojikubali kwamba ulikuwa masalia na unahitaji kusonga mbele baada ya miaka 35 tayari utakuwa na kansa ya ubongo maana hasira zako si zakawaida hasira huua legea kijana
 
Mnawakaribisha vijana ili muwafunde wawe kama akina gulu chemba na kibajaji lusinde?
 
Ficha ujinga wako kwa kuwa kimya..,maana upayukaji wako unadhihirisha ulivyo na ubongo wenye ukosefu wa virutubisho vya kufikiri.
Tandaleone, great thinker anasimamia hoja na huwa hata akitukanwa harudishii tusi kwa kuwa yeye ni Great thinker. Nani asiyejua kuwa uchaguzi wote ndani ya CCM ulitawaliwa na rushwa ya kutisha? Kujiunga na CCM ni kujiunga na genge la walarushwa, waotawala kwa rushwa, walioingia madarskani kwa rushwa, wasio waaminifu kwa nchi yao kwa vigezo vyote. Kijana anayeipenda na kuitakia mema nchi yake kama anajua kilichomo CCM, kamwe hawezi kujiunga. Rushwa ni adui wa haki!
 
unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu ndani ya cdm kama mipango ya kummaliza kibanda na waliokwisha tolewa sadaka na chama chenu cha cdm kama mwangosi, mussa, chacha wangwe n.k?
Unayo maelezo ya matumizi ya pesa za ruzuku na michango ya watanzania katika m4c kutumiwa na mtu binafsi katika shida zake(slaa kujikopesha milion 140) kinyume na utaratibu wa chama?
Unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa demokrasia ndani ya cdm mathalani kufukuzwa kwa kina shonza,mwampamba, habib mwinchange n.k bila utaratibu kufuatwa?
Wacheni vijana wenye akili zao waende wakipiganie taifa lao na watanzania kwa ujumla ndani ya chama tawala ccm.

Hapo kwenye blue text,
Ngoja tuone jinsi gani Mwangosi aliuawa... Polisi ndio waliomwua Mwangosi.
Labda polisi nao siku hizi wamehamia Chadema.
Upo hapo ???
Picha hizi hapa....

Iringa.jpg

296516_4672777863735_636390169_n.jpg

michael+kamuhanda.JPG
 
Kuna vitu unavyoweza kupigia debe lakini sio hiki unachokipigia sasa. Propaganda tu hizi na sidhani kama utawapata hao vijana uliowalenga.
 
unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu ndani ya cdm kama mipango ya kummaliza kibanda na waliokwisha tolewa sadaka na chama chenu cha cdm kama mwangosi, mussa, chacha wangwe n.k?
Unayo maelezo ya matumizi ya pesa za ruzuku na michango ya watanzania katika m4c kutumiwa na mtu binafsi katika shida zake(slaa kujikopesha milion 140) kinyume na utaratibu wa chama?
Unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa demokrasia ndani ya cdm mathalani kufukuzwa kwa kina shonza,mwampamba, habib mwinchange n.k bila utaratibu kufuatwa?
Wacheni vijana wenye akili zao waende wakipiganie taifa lao na watanzania kwa ujumla ndani ya chama tawala ccm.
kama kamuhanda ni kamanda wa chadema basi chadema inahusika moja kwa moja kwa mauaji ya mwangosi, umeisha jiuliza kwanii JK HAJAONGEA CHOCHOTE KUHUSU MWANGOSI, we usinifanye mimi mjinga...na kuhusu hao vibaraka wa ccm wakina shonza ata mimi ningewatimua mapema sana, siamini katika unafki,
 
unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu ndani ya cdm kama mipango ya kummaliza kibanda na waliokwisha tolewa sadaka na chama chenu cha cdm kama mwangosi, mussa, chacha wangwe n.k?
Unayo maelezo ya matumizi ya pesa za ruzuku na michango ya watanzania katika m4c kutumiwa na mtu binafsi katika shida zake(slaa kujikopesha milion 140) kinyume na utaratibu wa chama?
Unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa demokrasia ndani ya cdm mathalani kufukuzwa kwa kina shonza,mwampamba, habib mwinchange n.k bila utaratibu kufuatwa?
Wacheni vijana wenye akili zao waende wakipiganie taifa lao na watanzania kwa ujumla ndani ya chama tawala ccm.

Hapo kwenye blue,
Hapo dogo wewe unatafuta 'kufukuzwa' 'kazi'.
Yaani unamkejeli msajili wa vyama vya siasa wa Tanzania.
Huyo msajili wa vyama angejua hayo hapo kwenye blue, angeshaifuta Chadema zamani sana.
Sasa wewe dogo unamwambia msajili wa vyama vya siasa kuwa hajui kazi, au amelala fofofo, au na yeye kahamia Chadema !!!
Dogo kibarua chako 'kitaota nyasi' hivi karibuni tu.
Bora ukae kimya kama huyu jamaa hapa kwenye picha....
 
Back
Top Bottom