Recent content by Seyf001

  1. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii wanasafisha system , , halaf mkuu mbona kma hutaki tujifariji kwa kuamini inawezekana.
  2. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu unataka kudanganywa tu 😂!
  3. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hakuna kukata tamaa mzee , mpka saiv hawajaita mtu Tra baada ya kutoa barua wamesema watapga simu ~ sasa pengine kuna mabadiliko , pengine kina majina mengine yanasubiriwa ili yaanze kwa pamoja Training , pengine kuna zigo la data base litatoka. in short usikate tamaa ~
  4. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwl mzee , na tatzo simu inaweza pigwa isipatikane , au ukahisi wenzako washaitwa kimya kimya ~ we umekaa na barua tu.
  5. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hakuna aliepigiwa simu jamani uko ?? , isije ikawa tuna barua halafu simu zina ita kwengine ! ,
  6. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwaiyo kuna wengine watatangulia kuitwa?wakati wengine wakisubiri .
  7. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ivi mliacha no za simu au watatumia zile zile za kwnye portal ?
  8. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ivi waziri alisema linatoka ndani ya mwezi huu ??
  9. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi Tra mara hii imekuaje !? , yan barua tumefata halaf haosemi lini inatakiwa tureport , just wamesema watatupigia simu . Hii imekaaje wakuu ??
  10. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ivi kuna uwezekano Tra wakaita tna mwaka huu ??
  11. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Maswal yalikua ma 5 , ma 4 yte nilipga kwa uhakika Fresh yan . la 5 nimejibu ila sio fresh sna
  12. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Selected for practical interview , aisee nimekatwa .. Very painful yan
  13. Seyf001

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hio soon jiandae, wala isikudanganye. wiki ya pili sasa wakiulizwa wanasema ivo 😁
Back
Top Bottom