Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 962
- 2,308
Pwenti sana hii. Vijana watulie, walipiga kelele kuhusu placement, imeshatoka, watulie wasubiri maelekezo ya mwajiri sasa.Kwako wewe pressure itashuka ila kwa serikali itapanda kwasababu itakuwa ni aibu magazeti yaandika vijana wa TRA wako mtaani miezi 6 serikali haina budget ya mishahara. Hata wawekezaji wanaweza kukimbia.