HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu kwema humu..?
mazaga one na wengine wote mnasubiria placements na hata Wala wanasikilizia bahati zao kwenye database nawatakia Kila la kheri.
Binafsi Nashukuru Leo nishachukuwa barua mapema ofisi za PSRS.

Mungu awasaidie Nanyi muingie kwenye mirija ya asali
Kule pazuri ukiwa unafata barua tu..ukienda kukandwa hapafai kabisaa yaan unakuwa unaona kabisa kazi hiyoo naikosa.
 
Uzi unazidi kusonga hata kuisha wiki hii naamini thread hii itakuwa imeshafika pages 2000,

Mh. Waziri jenista mhagama, atatusikiliza tu kwa kutoa keka letu la kanzi data, lenye kufurahisha na kuleta furaha pia na kuongeza siku za kuishi 😂
 
Pdf la data base litagusa kote
Maliasili
TAA
Wizara ya Afya
TRC
TRA (kidogo)
Tanapa (kidogo)
Serikali za mikoa na wilaya
TPA(kidogo)
UDART... IT (kidogo)

Nk idara ambayo hujaona ikitangaza ajira mda mrefu pia zitapewa watu tusaidiane
Note: nimewaza tu sipo ndani
TPHPA iliyokua TPRI
 
Orosso Leo umekuwa kimya sana Mkuu,
Anatafakari kauli za wanasiasa wanazotufanyia kila mara wanapohisi kuna mambo vijana hatuelewi so wanakuja na kauli za kuwaliwaza wasaka asali..huo mwezi wa pili aliousema mh waziri sijui aliwaza nn!!
 
Hakuna kukata tamaa mzee , mpka saiv hawajaita mtu Tra baada ya kutoa barua wamesema watapga simu ~ sasa pengine kuna mabadiliko , pengine kina majina mengine yanasubiriwa ili yaanze kwa pamoja Training , pengine kuna zigo la data base litatoka. in short usikate tamaa ~
Mkuu nadhani huko kusubiria kunahusiana na mchakato wao wa ndani wa kuweka mambo sawa....kuandaa training hapo chuo cha kodi kunahitaji mambo mengi ikiwemo bajeti.

So endelea kusubiri mkuu. Humu kuna watu wamesubiri kwa takribani miezi mitatu ndipo wakaenda Kazini. Uzuri TRA huwa hawachelewi sana.

Mtaitwa tu mkuu.
 
mwenye ile clip ya mh. waziri anitumie please
Nimekaa tu nikamkumbuka Mstaafu..unaweza kumpitia speech zake kabla ya chupli chupli za siku hizi maana mwaka jana zilitoka kauli nyingiiii kuhusu ajira mpya kila moja na idadi yake anayojisikia kitaja.

 

Attachments

  • IMG-20230227-WA0002.jpg
    IMG-20230227-WA0002.jpg
    63.7 KB · Views: 19
Mrejesho

Jamani nimekosa nafasi kwenye mkeka uliotoka leo.

status kwenye web na app; selected for oral interview.

nakumbuka written nilipata 80+, prac 75+ , oral nilijibu maswali yote kwa usahihi tena yale ya taaluma sikuacha ata point.

Nimekandwa, labda ntaponea kwenye mkeka wa database.

nimekata tamaa kufanya interview za utumishi.
 
Back
Top Bottom